Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Ulimi uliponza kichwa,angalia msing'oe viti hata huko,mchezo huu unahitaji uvumilivu,Mikia FC mnahitaji kuwa na dawa ya usingizi Karibu kwani bila hiyo usiku wa leo utakuwa ni mrefu sana kwenu!!


Ni Kweli Mkuu Kwani Hata Mimi imenibidi Nitafute Diazepam ili Nipate nilale Kwani Kwa Furaha Niliyonayo Ya Kumla Kiboga YeboYebo Siwezi Pata usingizi.... [emoji12][emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kama Kila ukifungwa na Mnyama unamfukuza kocha.. Basi msimu huu timu zote zitatimua makocha wao msimu huu.
Lwandamina hakupewa kazi kwa ajili ya haya Mabonanza. Kaajiriwa special kwa ajili ya Klabu Bingwa na huko ndipo kilipo kipimo chake. Sio Mapinduzi wala VPL kabati limejaa tunawaachia nyie mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…