BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
tehetehetehe!!! wakate tu rufaa, tena FIFA. wapunguze nyodo na vibweka. Malapa kwake bafuni na chooni. Sebuleni ni uchafu.Usikute wanajipanga kukata rufaa kupinga penati na Bukungu kwamba hakuwa na nia njema!! Watakubali tu.
Yanga "Afirika" mnaanza kurogaAzam kama namuona akilikumbatiaπjapo si mshabiki wa ndani..
Duuh Aiseee! Hizi codes zako zina maana yeyote? πππMwaseeebu wa 5imbaaa
Duuh Aiseee! Hizi codes zako zina maana yeyote? πππ
Teh teh teh.....Mwaseeebu wa 5imbaaa