Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Uwanja wa Kambarage Shinyanga: Dkt. Magufuli asema Miaka 5 haitoshi, mpimeni kwa miaka 10

Kwani kusema ukweli ni ukabila, hata wewe umekiri kwamba hakupewa kura, lakini yeye kasema hakujali ndiyo maana hakuwasahau katika kugawana keki ya nchi
 
Yani Jiwe ni mwendo wa ndege tu. Bado hajutii. Huyu ni kiburi au uelewa mdogo sana?
 
Reli ipi alopeleka arusha au moshi?
Sasa tangu apeleke inafanya kazi?

Afterall reli iliwekwa na mkoloni.
Kwani kusema ukweli ni ukabila, hata wewe umekiri kwamba hakupewa kura, lakini yeye kasema hakujali ndiyo maana hakuwasahau katika kugawana keki ya nchi
 
apewe tu hiyo 10 , hatuna namna, ila mkumbuke MUNGU hadhihakiwi.

Sasa meanza kusema SAMIA mitano tena, endeleeni, MUngu hadhihakiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…