Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Uwanja wa Kambarage Shinyanga: Dkt. Magufuli asema Miaka 5 haitoshi, mpimeni kwa miaka 10

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Uwanja wa Kambarage Shinyanga: Dkt. Magufuli asema Miaka 5 haitoshi, mpimeni kwa miaka 10

Imo na size yako!!!!

Wasanii katika ubora wao.

Wananchi wanakula burudani ya size yao.
 
Dawaamulhaal minalmuhaal, acha kukariri hakuna chenye mwanzo kikawa hakina mwisho
CCM ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo tu mpaka pale Yesu Kristo atakapokuja tena kwa mara nyingine au Dunia 'ikipinduka' kwa mara nyingine.
 
Wasanii was nini wakati mmenunua ndege , kujenga flyover , Madaraja Stiegersgorge na Standard Gauge yaani kufanya vyote hivyo lakini Mpaka mvute watu kwa kutumia wasanii na kubeba watu kwfnye malori , mjifunze ujuaji wa kila kitu sio mzuri Limbukeni .
 
Nimesikitika sana kuona Rais wangu leo anapigishwa magoti na yule mvuta bangi muimba kiduku.

Tafadhalini wahuni kama hawa wapelekeni kwenye kampeni za madiwani huko au za wabunge.

Ni lazima ifahamike Magufuli bado ni Rais wa nchi hata kama anaomba kura, sijapenda kabisa mvuta bangi mmoja kuwapigisha magoti viongozi eti anaendezha duwa huku anaimba singeli na viongozi wa dini wapo pale, msifumbie macho hawa wahuni wa Humphrey Polepole, hizi ni dili za Chakubanga, Dr Bashiru hakutaka kabisa kuwatumia hawa wahuni wakati TOT ipo na inapiga burudani live band na siyo yale magumashi ya play back za hawa Bongo fleva.
Umewahi kumuona akivuta bangi???
Singeli on Stage ...you cant stop Singeli
 
Madini gani anayolisha Lissu? Kusema kwamba migambo wamuulize amiri jeshi mkuu jeshi la akiba ni kwa mujibu wa sheria gani?
Lisu anawaambia watu akishinda wafugaji watafugia ndani ya hifadhi za taifa.

Janga na nusu huyu
 
Huyu kqtambi ana bahati eh duh yaan mkuu ame declare kabisa ana mkubali ndugu katambi, hii ni ishara jamaa ni muchapa kazi
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
Hao waliookotwa baharini hawana ndugu? Matanga yalikuwa wapi? Munawaibia wasomali pesa zao mkifika mto ruvu mnawasokomezea mtoni, hayo majizi mafisadi papa mulitaka haendelee kuiba Mali za umma?
 
Wasanii was nini wakati mmenunua ndege , kujenga flyover , Madaraja Stiegersgorge na Standard Gauge yaani kufanya vyote hivyo lakini Mpaka mvute watu kwa kutumia wasanii na kubeba watu kwfnye malori , mjifunze ujuaji wa kila kitu sio mzuri Limbukeni .
nanyinyi si mvute kwa hivyo vilioo!!! tatizo nini kwani mbona kama tunataka kupangiana??
 
Nimeamini Lisu hajui hata kusoma yaliyoomo kwnye katiba Na sheria zetu.
MGAMBO ni askari msaidizi anayetambuliwa Na katiba yetu.
Ninakushauri uache kusikiliza uchambuzipotoshi wa Dada mweupe na Kaka mweusi wa TBC. Unakuwa kichekesho hivihivi.
Pale Shinyanga, Lissu alizungumzia kutotambulika kisheria/katiba kwa jeshi la akiba.
Akayataja pia JWTZ, TZ POLICE, TZ PRIZONS & MGAMBO kama majeshi yanayotambulika kikatiba.
 
Wananchi wamkataa katambi mbele ya magu,ikabidi magu awabembeleze kua waachane na ya pembeni et ameongea na masele waliemkata kua atampa kazi ingne kwa kua yeye ni raisi,afu cha ajabu wagombea ubunge wanamshukuru raisi kwa kuwapa nafasi ya kugombea badala ya kukishukuru chama
 
Ninakushauri uache kusikiliza uchambuzipotoshi wa Dada mweupe na Kaka mweusi wa TBC. Unakuwa kichekesho hivihivi.
Pale Shinyanga, Lissu alizungumzia kutotambulika kisheria/katiba kwa jeshi la akiba.
Akayataja pia JWTZ, TZ POLICE, TZ PRIZONS & MGAMBO kama majeshi yanayotambulika kikatiba.
Watu wanahitaji maendeleo wewe unaleta lecture za sheria ambazo pia huzijui
 
Back
Top Bottom