ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Utafiti wa TWAWEZA uliwapa ukweli kuwa hawana mvuto hasa kwa vijana. Hata hivyo hao vijana watakumbuka TAMASHA.Bila wasanii hampati watu wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti wa TWAWEZA uliwapa ukweli kuwa hawana mvuto hasa kwa vijana. Hata hivyo hao vijana watakumbuka TAMASHA.Bila wasanii hampati watu wengi
Wewe no punguani.akili zako ni kama bushra au ngiri maji nyuma haupo mbele haupoMadini gani anayolisha Lissu? Kusema kwamba migambo wamuulize amiri jeshi mkuu jeshi la akiba ni kwa mujibu wa sheria gani?
Mimi mzalendo wa Tanzania sio kibaraka Robert AmstadarmUnampa wewe ni nani?
Bila wasanii hampati watu wengi
Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo?
Watu wanataka sera sio MUZIKI? Kama unaamini Huyu MAGUFULI kaleta maendleleo venue tija kwa watu ZUCHU anafanya nn kwenye kampeni? Wale wasanii 200 wa nini?Watu wanahitaji maendeleo wewe unaleta lecture za sheria ambazo pia huzijui
Mtajiharishia mwaka huu. Wasanii ndio wameipenda ccm, mbona juzi Kawe mlikuwa na wasanii?? semeni ukweli chadomo wajanja wameshaishtukia ni kakikundi ka watu fulani wana maelekezo ya mabeberu kujaribu zali kama watapata ili wagawe utajiri wetu kwa mabwana zao, mwaka huu mtaambulia aibuWasanii was nini wakati mmenunua ndege , kujenga flyover , Madaraja Stiegersgorge na Standard Gauge yaani kufanya vyote hivyo lakini Mpaka mvute watu kwa kutumia wasanii na kubeba watu kwfnye malori , mjifunze ujuaji wa kila kitu sio mzuri Limbukeni .
Dawaamulhaal minalmuhaal, acha kukariri hakuna chenye mwanzo kikawa hakina mwisho
Wewe anti Magufuli unaenda huko kufanya nini kama sio umbea mtoto wa kiume.Wapi nimeumia wakati naenda kula burudani?
Umetumwa na mabeberuWatanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.
Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.
Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.
Huyu mtu hatufai kabisa.
CCM kama chama cha siasa ilikufa enzi za Kolimba. Ila kuna kikundi kinaitwa ccm kimejibananisha na DOLA. siku kikitenganishwa na dola tu hata nacho kitakufaCCM ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo tu mpaka pale Yesu Kristo atakapokuja tena kwa mara nyingine au Dunia 'ikipinduka' kwa mara nyingine.
Kweli kabisa mkuu, sanaa hasa wasanii husaidia kifanya hadhira iwe kubwa.Kufikisha ujumbe kwa njia ya Sanaa sioni tatizo.
Labda Kama huoni nafasi ya Sanaa Kwenye kampeni yako kwamba hutapiga muziki kwasababu unaona wasanii na Sanaa haziwezi kutoa hamasa wala ujumbe kuifikia hadhira.
Sanaa hasa muziki ni muhimu sana iwe msibani, kanisani n.k
Wengine ujumbe ukiwa Katika muziki wanaelewa zaidi kuliko maneno anayozungumza hata Huyo msanii.
Tumia mbinu zote kuifikia hadhira ikuelewe.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Leo kishindo cha awamu ya tano ambacho ni kishindo cha wasanii kitakuwepo uwanja wa Sabasaba Kambarage ambapo mgombea wa CCM ndugu John Pombe atakuwa jukwaani kunadi sera zake huku wasanii nane akiwemo Sholo Mwamba ambaye amempa shule kabambe ndugu Magufuli kucheza kiduku watakuwepo kutoa burudani ya hapa na pale.
Hizi kampeni bwana!
Imagine ndani ya mji mmoja anaanza Hashim Rungwe mnapiga bweche mnashiba, anafuatia Tundu Lissu mnakula madini na kisha anamalizia John Magufuli mnakula burudani kisha mnarudishwa makwenu.
Kwa hakika ingekuwa ni mserereko. NEC sikieni kilio chetu hiki kuhusu ratiba.
Burudani kwa wote!
Dogo ni asset.Tusemeni ukweli, MBELEKO inayotumika kumbebe Patrobas Katambi leo ni noma! Kwa ysawa huu Makonda ameshapatiwa mbadala.
Naunga mkona hoja...endelea kuamini hivyo....utafikiri kampeni hizi ni kwa ajili ya mashindano ya kujaza watu ....duh duh..Bila wasanii hampati watu wengi