residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Mnatafutia soko bidhaa gani?unabeza style ya marketing[emoji3][emoji3]
Lazima mje kulia mmeibiwa kura...
Mwaka juzi nikiwa huko nyumbani,nilienda shambani Kerege,nikashangaa nakutana na kundi kubwa la wananchi wamezunguka gari,nikauliza kulikoni,nikaambiwa ni sabuni ya foma wanafanya marketing.
Ndicho mnachofanya?