Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Taifa Stars 2 - 1 Equatorial Guinea

Sasa hivi ndo tuna benchi sahihi la ufundi.
 
November 15, 2019

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea

Dakika 90' + 4 za nyongeza = 95' Full time mpira umekwisha hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Magoli ya Tanzania Simon Msuva 68' na Abubakar Salum 93' huku Equatorial Guinea likifungwa na Obiang'.


Hali ilivyokuwa kwa dakika:
Dakika 68'
Goal ! Simon Happygod Msuva awanyanyua vitini waTanzania kwa goal safi kabisa uwanja wa Taifa Dsm



Goal ! Abubakar Salum dakika ya 93' shuti lake kali yaipatia Tanzania pointi zote tatu.

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea
Super Coach wa Tanzania Etienne Ndayiragije na wa Equatorial Guinea Sebastien Migne toka Ufaransa walambishwa kadi za njano dakika ya 95' ktk mchezo huu kuelekea fainali huko Cameroon 2021. Sebastien Migne alikuwa coach wa timu ya Kenya Harambee Stars kabla ya kusainiwa na Equatorial Guinea.
 
Hata kama tumeshinda lakini Kaseja hawezi kukwepa lawama kwa aina ya goli alilofungwa. Wenzake wa hadhi yake, mpira kama ule huucheza.
Kaseja ni mzee sana hawezi kujirusha kama kijana mwili haukubali anatakiwa astaafu. Najua kocha anampenda kwa sababu wanaongea lugha moja
 
Hivi hakuna mtu aliyemshukuru mheshimiwa raisi kwa huu ushindi? πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…