Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hayo yameshapita kilichotakiwa ni ushindi na tumeshaupata!!Hata kama tumeshinda lakini Kaseja hawezi kukwepa lawama kwa aina ya goli alilofungwa. Wenzake wa hadhi yake, mpira kama ule huucheza.
Ni wakati wa ukweli kuwa wazi. Nimesema sana. Ndairagije kuwa kocha Stars ni kituko kikubwa sana. Kwa mafanikio gani?
Wasaidizi ndiyo hao akina Mgunda na Matola. Wawili wote wa nini? Matola angetosha kuwa msaidizi wa kocha wa level kubwa.
Tunapenda vitu vya bei rahisi sana. Acha tuvune stahiki yetu.
Upo sahihi mkuu maana anacheza huku anaogopa...ni bora tuweke mashine nyingine maana tunazo nyingi tuAu samata aanzie benchi kabsa [emoji28][emoji28][emoji28]
Kaseja ni mzee sana hawezi kujirusha kama kijana mwili haukubali anatakiwa astaafu. Najua kocha anampenda kwa sababu wanaongea lugha mojaHata kama tumeshinda lakini Kaseja hawezi kukwepa lawama kwa aina ya goli alilofungwa. Wenzake wa hadhi yake, mpira kama ule huucheza.
Leo nilikuwa najiambia. Naangalia Uholanzi au Taifa Stars? What a mindset !Coming back from defeat siyo lelemama eti. Lazima uwe na attitude ya Never say die.Siku hizi hili chama naliamini sana yaani kama chelsea fc!!
Ngapi ngapiWatu walimpima Kaseja kwenye mechi nyepesi za awali za CHAN, ambazo hazikuwa na wachezaji mahiri wa kulipwa wa timu pinzani za Kenya, Burundi na Sudan. Sasa amekuja AFCON amekutana na professional players
Salum Abu bakar " Sure boy"Nasikia tushafunga la pili ni kweli
Wachawi tuko naoMungu ibariki EQUATORIAL GUINEA
Anaogopa kuumia. Itakuwa winter season anataka kuhama team.Upo sahihi mkuu maana anacheza huku anaogopa...ni bora tuweke mashine nyingine maana tunazo nyingi tu
Huyu ni mtoto wa Abubakari Salum au ?Salum Abu bakar " Sure boy"
Naona wewe ulikuwepo hata kabla mechi haijapangwa safi sanaa, ila mpira dk 90 tumepiga mtu 2-1 ovaaa.Mnaonekana baada ya mechi kuisha!!
Kwa mechi za hivi karibuni imekuwa kawaida yetu!
Ukiwa kocha taifa stars uvumilie mashabiki wana gubu kama fundi cherehaniTungefungwa mngesikia kocha mbovu vililive sipati picha watu wangemlaumu Kaseja.Yote kwa yote pongezi kwa Taifa stars na benchi zima la ufundi
Mnafiki mkubwa wewe, si ulikuwa unaombea team ifungwe... MAu samata aanzie benchi kabsa [emoji28][emoji28][emoji28]
Afu kweliMnaonekana baada ya mechi kuisha!!