Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Taifa Stars 2 - 1 Equatorial Guinea

Hivi hakuna mtu aliyemshukuru mheshimiwa raisi kwa huu ushindi? [emoji3][emoji3]
Kwa niaba ya watanzania wote, napenda kumshukuru rais wetu mpendwa ndg JPM na serikali ya awamu ya 5 kwa kutufanikisha kushinda mechi hii.

Hakika uongozi imara umetia hamasa na nguvu kuu. Kwa uongozi huu Makini Brazil na nchi nyingine zote za mabeberu tunao uwezo wa kuzifunga hata goli 5!

Mungu ibariki Tz.
 
Ahsante awamu ya tano inayoongozwa na Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli kwa kutupatia ushindi huu kuelekea AFCON 2021.
 
November 15, 2019
Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea

Dakika 90' + 4 za nyongeza = 95' Full time mpira umekwisha hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Magoli ya Tanzania Simon Msuva 68' na Abubakar Salum 93' huku Equatorial Guinea likifungwa na Obiang'.

Hali ilivyokuwa kwa dakika:

Dakika ya 15'
Pedro Obiang' wa Equatorial Guinea anafunga bao la kuongoza hapa uwanja wa Taifa.

Dakika 68'
Goal ! Simon Happygod Msuva awanyanyua vitini waTanzania kwa goal safi kabisa uwanja wa Taifa Dsm

Dakika ya 91'
Goal ! Abubakar Salum shuti lake kali yaipatia Tanzania pointi zote tatu.

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea
Super Coach wa Tanzania Etienne Ndayiragije na wa Equatorial Guinea Sebastien Migne toka Ufaransa walambishwa kadi za njano dakika ya 95' ktk mchezo huu kuelekea fainali huko Cameroon 2021. Sebastien Migne alikuwa coach wa timu ya Kenya Harambee Stars kabla ya kusainiwa na Equatorial Guinea.
 
Wamemkaba wapi bana...shot za kubend na kumhadaa kipa yeye anamlenga tu
Akicheza samata na nchimbi ushindi upo, akicheza samata peke yake mbele hakuna ushindi kwa sababu wanamkaba sana!
 
November 15, 2019
Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea

Dakika 90' + 4 za nyongeza = 95' Full time mpira umekwisha hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Magoli ya Tanzania wafungaji ni Simon Msuva 68' na Abubakar Salum 93' huku Equatorial Guinea likifungwa na Obiang'.

Hali ilivyokuwa kwa dakika:

Dakika ya 15'
Pedro Obiang' wa Equatorial Guinea anafunga bao la kuongoza hapa uwanja wa Taifa.

Dakika 68'
Goal ! Simon Happygod Msuva awanyanyua vitini waTanzania kwa goal safi kabisa uwanja wa Taifa Dsm

Dakika ya 91'
Goal ! Abubakar Salum afunga kwa mkwaju mkali kabisa. Shukrani kwa assist toka kwa Mbwana Samatta aliyetumia uzoefu wake ktk ligi ya Belgium na mashindano ya Champions League Europe na kumtegea pasi murua Abubakar Salum ambaye bila ajizi wala papara shuti lake kali yaipatia Tanzania pointi zote tatu.

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea
Super Coach wa Tanzania Etienne Ndayiragije na wa Equatorial Guinea Sebastien Migne toka Ufaransa walambishwa kadi za njano dakika ya 95' ktk mchezo huu kuelekea fainali huko Cameroon 2021. Sebastien Migne alikuwa coach wa timu ya Kenya Harambee Stars kabla ya kusainiwa na Equatorial Guinea.
 
Alafu asingrkuwa mzungu black kama Mimi asingepata attention. Waafrika tunatatizo mahala..
Au ww hapo nenda uingerza nawe jiganye bongozozo kwa waingereza kama utapta attention kwao
Ukileta ubunifu unapata Attention, ije world Cup, nenda World Cup, vaa kama Masai, Jiite German Maasai, jichanganye katikati ya mashabiki wa Ujerumani ukiwa mweusi pekee uone kama hujateka Media.
 
Usiku wa leo lazima nitaota ndoto nzuri za kwenda Mbinguni.
Viva T-Stars.
 
November 15, 2019
Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea

Dakika 90' + 4 za nyongeza = 95' Full time mpira umekwisha hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Magoli ya Tanzania wafungaji ni Simon Msuva 68' na Abubakar Salum 93' huku Equatorial Guinea likifungwa na Obiang'.

Hali ilivyokuwa kwa dakika:

Dakika ya 15'
Pedro Obiang' wa Equatorial Guinea anafunga bao la kuongoza hapa uwanja wa Taifa.

Dakika 68'
Goal ! Simon Happygod Msuva awanyanyua vitini waTanzania kwa goal safi kabisa uwanja wa Taifa Dsm

Dakika ya 91'
Goal ! Abubakar Salum afunga kwa mkwaju mkali kabisa. Shukrani kwa assist toka kwa Mbwana Samatta aliyetumia uzoefu wake ktk ligi ya Belgium na mashindano ya Champions League Europe na kumtegea pasi murua Abubakar Salum ambaye bila ajizi wala papara shuti lake kali yaipatia Tanzania pointi zote tatu.

Tanzania 2 : 1 Equatorial Guinea

Makocha nao walipatikana na dhahma uwajani ktk harakati za kuchagiza na kushawishi ushindi kwa timu zao:

Super Coach wa Tanzania Etienne Ndayiragije na wa Equatorial Guinea Sebastien Migne toka Ufaransa walambishwa kadi za njano dakika ya 95' ktk mchezo huu kuelekea fainali huko Cameroon 2021. Kocha mfaransa Sebastien Migne alipata kuwa coach wa timu ya taifa ya Kenya maarufu kama Harambee Stars mpaka Agosti 2019 kabla mkataba wake kusitishwa na kisha kusaini mkataba na Equatorial Guinea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…