Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Ulikuwa wapi muda wote?Msiwage mnajifanya mnajua kila Kitu. Haya ngapi ngapi.
Ukweli unabaki huo huo regardless ya matokeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa wapi muda wote?Msiwage mnajifanya mnajua kila Kitu. Haya ngapi ngapi.
Sidhani,am not sureHuyu ni mtoto wa Abubakari Salum au ?
Una roho ya kichawi Mbugila wewe, naona umehamisha magoli umerudi kwenye regardless ya magoli.Ulikuwa wapi muda wote?
Ukweli unabaki huo huo regardless ya matokeo.
Yes Ni mtoto wake mchezaji wa Zamani wa taifa stars mzee Aboubakari Saloum.Sidhani,am not sure
Kwa niaba ya watanzania wote, napenda kumshukuru rais wetu mpendwa ndg JPM na serikali ya awamu ya 5 kwa kutufanikisha kushinda mechi hii.Hivi hakuna mtu aliyemshukuru mheshimiwa raisi kwa huu ushindi? [emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti Mbugila angekuelewa angekukata maskio mkuuUna roho ya kichawi Mbugila wewe, naona umehamisha magoli umerudi kwenye regardless ya magoli.
Akicheza samata na nchimbi ushindi upo, akicheza samata peke yake mbele hakuna ushindi kwa sababu wanamkaba sana!Au samata aanzie benchi kabsa [emoji28][emoji28][emoji28]
Akicheza samata na nchimbi ushindi upo, akicheza samata peke yake mbele hakuna ushindi kwa sababu wanamkaba sana!
Hapana,hao wanaonekana sababu Samata yupo ndani maadui zetu wanajua wa kumkaba ni Samatta tu wanawasahau hao wengine.Au samata aanzie benchi kabsa [emoji28][emoji28][emoji28]
Ukileta ubunifu unapata Attention, ije world Cup, nenda World Cup, vaa kama Masai, Jiite German Maasai, jichanganye katikati ya mashabiki wa Ujerumani ukiwa mweusi pekee uone kama hujateka Media.Alafu asingrkuwa mzungu black kama Mimi asingepata attention. Waafrika tunatatizo mahala..
Au ww hapo nenda uingerza nawe jiganye bongozozo kwa waingereza kama utapta attention kwao
Yes Ni mtoto wake mchezaji wa Zamani wa taifa stars mzee Aboubakari Saloum.
Pana watu wameumia sisi kushinda na ni Watanzania wenzetu kabisaEndelea kufurahi