Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
hii hapa Tanzania - Equatorial Guinea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi mana ilo goli lao waliopata pasi chache tu.Hawa jamaa wanacheza direct football hawana mambo mengi.
Tatizo wabongo wengi ushabiki maandazi mtu anataka kipa wake wa yanga au simba ndio achaguliwe timu ya taifaKaseja amemuaibisha kocha wake Ndairagije! Yaani mtu anafunga kutoka katikati ya uwanja! Kwa hali hii mashabiki wa Simba wana haki ya kumlilia golikipa wao Aishi Manula, ingawa na yeye amekua akitunguliwa magoli ya aina ile ile.
Ingekuwa tupo nchi za watu, Kocha Mgunda ilibidi awajibike kwa kauli yake ya ‘Kijinga’ aliyotoa.Huwezi kumuita golikipa katika kikosi kwa kigezo kimoja cha kupangua penati
Mungu ibariki EQUATORIAL GUINEA
Kwa takwimu mpaka sasa katika Ligi Kuu, Manula anastahili kuwepo kwenye kikosi cha Taifa.Tatizo wabongo wengi ushabiki maandazi mtu anataka kipa wake wa yanga au simba ndio achaguliwe timu ya taifa
Mkuu ndo maana nikasema wao wanacheza sisi tunarukarukaBado hawana malengo,,,Angalia hao jamaa wamefanya jaribio moja na kupata goli,,,sisi majaribi matatu no goal
Kwa takwimu mpaka sasa katika Ligi Kuu, Manula anastahili kuwepo kwenye kikosi cha Taifa.
Kabisa mkuuMungu anamjibu Mgunda kwa vitendo
Sina maana kuwa kipa ni Tatizo. Nilinukuu kauli ya mmoja wetu hapo juu.Hii mechi tatizo siyo kipa,,,Angalia timu inachezaje,,,wachezaji washapanic wasipotulia na hao jamaa wanavyocheza total football yatakuwa mengine hapa
Ya aina ile ile maana yake ni nini? Watu kadhaa nimekuwa nikiwasikia wakilizungumza hili, lakini nikiwauliza maana huwa hawajibu. Inaonekana kuna kukaririshana sentensiAishi Manula, ingawa na yeye amekua akitunguliwa magoli ya aina ile ile.