DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Mkuu, sio kirahisi kihivyo.Aghhhhh! Sijapenda nilitaka mpigwe leo.
Hawana madhara haoToka Morogoro mpira umeisha
Mtibwa 4-2 Mwadui
Pole mkuu nimesahau kuwa mwaka huu hata ubigwa wa big four hupati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaharibu sasa,aaaarrrggghhhh
oyoooooooooooooooooooooooooooooooooooYanga 2- mbeya city 1
Beki ya Yanga imepoa sana leo Dady,laiti kama ingekuwa hii ndio ile mechi ya Kagera sijui ingekuwaje!Beki yetu inajikanganya sana..Mbeya City wanaweza kupata goli
Beki yetu inajikanganya sanaDuh tunakoswakoswa hapa......
Dakika 79 bado tunaongoza.
Inanikosesha raha sana..Confidence ya ushindi imepotea kabisa yaaniBeki ya Yanga imepoa sana leo Dady,laiti kama ingekuwa hii ndio ile mechi ya Kagera sijui ingekuwaje!
Zidisha maombi mkuu,hapa wakichomoa tu basi.oyooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Nililiona hili. Yaani roho juu kila wakati Mbeya wanapongia golini kwa yanga.Eeeeeh Mungu saidia Yanga.
Ni kweli hawajatulia kabisa, tukipewa mashambulizi mfululizo mambo yanaweza kuwa mabaya .........Beki yetu inajikanganya sana
mezani kunaandaliwa chakula au point I?Tunarudishiwa pointi zetu za mezani.!