DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Kabisa mkuu.Homa inapanda homa inashuka
Heri yako unaangalia kwa tv, mie nasikiliza redioni yaani moyo Unaenda mbio balaaHunizidi mimi. Yani nikisikia mbeya city, nachanganyikiwa.
Baadaye ipi mkuu? Hapa tunasubiri filimbi ya refa tu mpira uishe.Msikimbiane baadaye mkifungwa.
Nami hivyo hivyo. Mtangazaji anavyojua kupandisha sauti yaani roho juu.Heri yako unaangalia kwa tv, mie nasikiliza redioni yaani moyo Unaenda mbio balaa