DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Cheers, dudeNa mpiraaaaaaa umekwishaaaaa.
Yanga wanaondoka kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City.
Ubingwa umekaribia Jangwani,wanazi wenzangu wa Yanga endeleeni kushona suti na shampeni...
Hongereni mashabiki wote wa Yanga.
Ushindi huu tumpe mwenyekiti wetu Manji kama zawadi kwa magumu aliyopitia.
Cheers [emoji323] [emoji485]