Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Na mpiraaaaaaa umekwishaaaaa.
Yanga wanaondoka kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City.

Ubingwa umekaribia Jangwani,wanazi wenzangu wa Yanga endeleeni kushona suti na shampeni...
Hongereni mashabiki wote wa Yanga.
Ushindi huu tumpe mwenyekiti wetu Manji kama zawadi kwa magumu aliyopitia.
Cheers [emoji323] [emoji485]
Cheers, dude
 
Tumerudi kwenye nafasi yetu.......daima mbele.....
 
Tena Mbao nina hasira nao sana,ile siku sijui ilikuwaje hadi tukapoteza ile mechi [emoji16]
Mbao itabidi tuwarande na panga lenye kutu.....Ninahasira nao sana wale viumbe.
 
Back
Top Bottom