Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
Badala ya kuongeza timu inatakiwa zipunguzwe zaidi. Kuwa na timu chache kunasaidia kuongeza upinzani na kuifanya ligi kuwa ngumu kwasababu timu ni chache hivyo ni rahisi kushuka daraja na vigumu kupanda tenA.Kwanin TFF asiongeze timu ziwe 20
Weka updates basi mkuu? Sio poa unaanzisha thread halafu unapotea.Match loaalding
Yanga fc vs Mbeya City
Uwanja:Mkapa Stadium
Time:10:00pm
Joto:25c
Humidity:normal
Rainfall:no,70%
Nakuletea updates LiVe
Kiingilio:
Mabanda umiza: 500Tsh
Bar:Soda au any drinks
Kikosi cha 1
1. Beno David
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Nadir Ally
5. Vicent Bossou
6. Thabani kamusoko
7. Saimon Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Obrey Chirwa
10. Donald Ngoma
11. Geoffrey Mwashuiya
Kikosi cha akiba.
Deogratius Munishi, Vicent Andrew, Hassan kessy, Oscar Joshua, Said Makapu, Emmanuel martin, Juma mahadhi, Matheo Anthony, Amiss Tambwe na Malimi Busungu..
Head Coach : GEORGE LWANDAMINA
Assistant Coach : JUMA MWAMBUS
Haaahaaa. Asante mkuu. Ilikuwa y siku moja.Ban imeisha mkuu? Karibu sana.
Wacha tumsaidie tu, labda MB zimemwishia.Weka updates basi mkuu? Sio poa unaanzisha thread halafu unapotea.
Sijakuona tena since then,bora umerejea.Haaahaaa. Asante mkuu. Ilikuwa y siku moja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba ni timu ya hovyo
Wamemroga Msuva
Baada ya ban kuisha nilikuwa naingia kwa muda mfupi sana kutokana na majukumu ya hapa na pale, wakati huo huo nikiwa na presha ya vyeti feki teh teh. Nadhani tulikuwa tunapishanaSijakuona tena since then,bora umerejea.
hah hah duh mkuu mbona unaichukia simba sana!Simba ni timu ya hovyo
Wamemroga Msuva
Biashara FC a.k.a Mezani football club sijui itakuwaje aiseee,, na mwaka huu wanaishia kunawa!! Jana vilijitahidi sana kununua mechi kwa stand united!!Mbeya City tandika hao wamchangani bao 2
Wewe mleta updates haufai.kumbe upo kishabikiInakuwa bado march moja tu watangaze ubingwa Simba sc wanajitaidi sana kununua mechi
Hapo ndipo nawapenda Yanga wanawatanguliza na kuwapa matumaini kibao!Ubingwa n jangwan tu hakuna
Otherwise maana,wa matopen
Wamebakiza gem 1
Wakat jangwa tuna game 2
Ukiacha hii ya leo
Na wewe una timu yako mkuu?Kwanin TFF asiongeze timu ziwe 20
Hahahaaaaaaa jingalao huku mpirani tu ndipo ulipo na akili [emoji4]DAIMA MBELE NYUMA MWIKO