Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Kwanin TFF asiongeze timu ziwe 20
Badala ya kuongeza timu inatakiwa zipunguzwe zaidi. Kuwa na timu chache kunasaidia kuongeza upinzani na kuifanya ligi kuwa ngumu kwasababu timu ni chache hivyo ni rahisi kushuka daraja na vigumu kupanda tenA.
Na huko chini na kwenyewe kutakua kugumu kila timu inapambana ili ipande juu.
 
Match loaalding
Yanga fc vs Mbeya City
Uwanja:Mkapa Stadium
Time:10:00pm
Joto:25c
Humidity:normal
Rainfall:no,70%
Nakuletea updates LiVe
Kiingilio:
Mabanda umiza: 500Tsh
Bar:Soda au any drinks
Kikosi cha 1
1. Beno David
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Nadir Ally
5. Vicent Bossou
6. Thabani kamusoko
7. Saimon Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Obrey Chirwa
10. Donald Ngoma
11. Geoffrey Mwashuiya
Kikosi cha akiba.
Deogratius Munishi, Vicent Andrew, Hassan kessy, Oscar Joshua, Said Makapu, Emmanuel martin, Juma mahadhi, Matheo Anthony, Amiss Tambwe na Malimi Busungu..
Head Coach : GEORGE LWANDAMINA
Assistant Coach : JUMA MWAMBUS
Weka updates basi mkuu? Sio poa unaanzisha thread halafu unapotea.
 
Yanga wanapata kona ya 5.
Haijaleta madhara.
 
Sijakuona tena since then,bora umerejea.
Baada ya ban kuisha nilikuwa naingia kwa muda mfupi sana kutokana na majukumu ya hapa na pale, wakati huo huo nikiwa na presha ya vyeti feki teh teh. Nadhani tulikuwa tunapishana
 
Mpira wa leo haujachangamka kama ilivyokuwa kwa mechi iliyopita dhidi ya Kagera.
 
Back
Top Bottom