Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
Badala ya kuongeza timu inatakiwa zipunguzwe zaidi. Kuwa na timu chache kunasaidia kuongeza upinzani na kuifanya ligi kuwa ngumu kwasababu timu ni chache hivyo ni rahisi kushuka daraja na vigumu kupanda tenA.Kwanin TFF asiongeze timu ziwe 20
Na huko chini na kwenyewe kutakua kugumu kila timu inapambana ili ipande juu.