DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Kabisa mkuu. Naamini ikiwa hivi hadi half time, Mbeya city watalala.Vijana wako vizuri sana mkuu,wamenikumbusha yule jamaa Mbaraka Yusuph wa Kagera Sugar alivyotunyanyasa.
Leo utakuwa na raha sanaaaaa. Balaa.....tehteytehtehGoaaaaaaaal Yanga 1(Simon Msuva)-0 Mbeya City.
Kazi imeanza.
Shukraan za dhati kwa Tambwe.
Kweli aisee...Ile mechi ya Kagera ilikuwa balaa mkuu,jasho lilinitoka mwili mzima kwa dakika zote 90.
Sishangai kwanini waliwafunga Mezani FC hahahaaaaaa
Kwa mpira wanaocheza Mbeya City sina mashaka kabisa leo ushindi ni wa uhakika.Kabisa mkuu. Naamini ikiwa hivi hadi half time, Mbeya city watalala.
Hadi sasa bado sina imani kivile kwani wanasema
It's not yet over until it's over.
Usituonee wivu mkuu. Raha mhimu sana hapo.Leo utakuwa na raha sanaaaaa. Balaa.....tehteytehteh
Sio kuifanya..Mnanikera hapo tu kuifanya Yanga timu ya lichama lenu [emoji16]
Hapana! Kabla ya kidedea huo ulikuwa ushangiliaji wa Simba fc, wakiwazodoa Yanga fc kwamba ni timu ya ccm, ilikuwa haijalishi Simba fc anacheza nani! Kipindi hicho Simba wakikaa jukwaa kuu na Yanga wakiwa jukwaa la kijani mwa uwanja wa zamani wa taifa (shamba la bibi). Niko tayari kukosolewa na wale wakongweYaani kabla watani hawajaja na kidedea sisi tulikuwa tunashangilia CCM CCM CCM CCM...!!Ulikuwa ukisikiliza kwenye radio na kudikio hiyo kelele ya CCM CCM CCM basi ujue Yanga katupia.
Ingekuwa vizuri zaidi Mkuu lakini kwenye saba amepwaya .Lwandamina kwanini asimpandishe juu Juma Abdul, Kessi amshushe chini?
Amina. Weekend yangu itakaa vizuri sana. Sio kama ile iliyotibuliwa na Mbao fc.Kwa mpira wanaocheza Mbeya City sina mashaka kabisa leo ushindi ni wa uhakika.
Tuombee kipindi cha pili iwe hivyo mkuu.Lwandamina kwanini asimpandishe juu Juma Abdul, Kessi amshushe chini?
Simba walikuwa na ushangiliaji wao walikuwa wanapiga lile litarumbeta lao huku wakiimba eeeh! Kidedea.hapo ujue kuwa vijana matata akina George masatu wamefanya yaoHapana! Kabla ya kidedea huo ulikuwa ushangiliaji wa Simba fc, wakiwazodoa Yanga fc kwamba ni timu ya ccm, ilikuwa haijalishi Simba fc anacheza nani! Kipindi hicho Simba wakikaa jukwaa kuu na Yanga wakiwa jukwaa la kijani mwa uwanja wa zamani wa taifa (shamba la bibi). Niko tayari kukosolewa na wale wakongwe