Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Uwiiiiiiiiii Haruna Shamte anawasawazishia Mbeya City hapa,kazi nzuri iliyofanywa na Nchimbi.
Yanga 1-1 Mbeya City.

Goli hili ni kwa uzembe wa mabeki wa Yanga.
 
MBC funga hao kandambili warudi kwao jangwani wakatafunwe na mbu.
 
Hah hah ha teh teh nacheka kwa dharaaaauuu na po[corn zangu mie! Poleni sana!
 
Uwiiiiiiiiii Haruna Shamte anawasawazishia Mbeya City hapa,kazi nzuri iliyofanywa na Nchimbi.
Yanga 1-1 Mbeya City.

Goli hili ni kwa uzembe wa mabeki wa Yanga.
Mpira uishe sasa jamani, wana lizombe wakamalizie kazi wasishuke daraja.
Dk ya ngapi?? Yanga siipendi jamani sijui kwa nini??!!
 
Back
Top Bottom