Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Kuna siku,nakumbuka ilikuwa ni jumatatu,sasa utaratibu ulikuwa ni kuwa daladala zote zinazopita hapo haziruhusiwi kushusha mwanafunzi,option ilikuwa ni ama yawashushie mwenge au kona ya kawe!halafu wanafunzi watembee kwa mguu toka mwenge mpaka makongo au kawe mpaka makongo!sasa kuna siku konda mmoja alijichanganya akatususha makongo badala ya mwenge!halafu siku mvua ilinyesha!sasa wajenda walichofanya ni kuipiga basi mkono!waka walaza dereva na konda uwanjani pale yanakopaki magari!bahati nzuri siku hiyo mvua ilinyesha!sasa kulikuwa na vidimbwi kama mia hivi kwenye hio parking lot!sasa ile parking lot ni kama kiwanja cha mpira mmoja!sasa,konda na dereva wakaambiwa wapige mbizi!ahahaha!yale madimbwi yalikuwa kama yana urefu wa inchi moja hadi tano kwenda chini!waliogelewa toka saa nne hadi saa nane tunaenda nyumbani!
Duh, Mkuu nadhani udereva na ukonda waliacha kabisa
 
Baada tu ya kumaliza kuona demo ya Makomandoo iliyoisha hivi punde nimeamua rasmi kuachana rasmi na Demu wangu mmoja ambaye Bwana wake nae ni Komando. Bado nayapenda sana maisha halafu sioni sababu ya Mimi kuteseka wakati muhusika mwenyewe tu kaweza kuivumilia misumari kama 200 imchome mgongoni mwake huku wenzake wakimtimba na kumkanyaga na Jamaa kaamka akiwa yupo fiti tu. Sasa sijui akinifumania nae Demu wake atanifanyeje! Mpenzi wangu nakupenda sana ila Mumeo Komandoo huyo anapendwa zaidi na misumari na yale matofali hivyo isiwe taabu / shida tuachane tu tafadhali.
We mtu sio!!
 
Jamani kama heading inavyosema, leo kwenye uwanja wa Uhuru kuna maonyesho yanafanyika, yanajumuisha gwaride la majeshi jwtz, polisi na magereza.

Niende kwenye kiini, Mimi leo katika maonyesho haya nimevutiwa sana na kikundi cha guard ya kimyakimya( silent guard)

Sio siri wamefanya vizuri sana hasa katika mambo yafuatayo:
1. Mageuko(turning), Mara zote wamegeuka kikakamavu sana na wanakata upepo balaaa
2. Jinsi ya kukondamachi( yaani msitari mmoja unaingia kwenye mistari mingine ili kupanga guard kuendana na urefu yaani watu wa mbele wabakie walewale na right marker abakie yuleyule, safi sanaaaa

3. Namna ya kubadilishana silaha, wamefanya kitendo hiki kwa uharaka na ukakamavu na bila kukosea(accuracy)

4.kwenye kunyoosha mistari wamefanya wonders, hongeraaaaa
5. Kiongozi wao Lt. Kilawe yule Dada mwenye kitala ameonesha ukakamavu safi sanaaaa

Hongera zao silent guard ya jwtz (infantry soldiers)
Najua kuna mengine umeyaona mwana jf karibu uyaweke hapa
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeniii
 
Nawaza kimya kimya pia....ina maana huwa wanapata mafunzo kimy kimya [emoji40]
 
Huyo Kiongozi wao Luteni Mrope nakumbuka nilikutana nae mwaka juzi maeneo ya Ubungo akiwa anatokea Viwanja vya sabasaba kipindi kile na wao walipokuwa wameenda pale na nilipeana nae mkono tu kwa kusalimiana kwakuwa mdogo wake ni mshkaji wangu mno lakini yale maumivu ya ile salamu yetu ya kupeana nae mikono ambayo yalidumu kwa wiki mbili ilifanya tu niamini kuwa hawa Makomandoo siyo watu wa sports sports. Ngoja nijiandae leo jioni kwenda kunywa bia za bure Lugalo kwani najua Komando Luteni Mrope lazima atasababisha tu. Kuwa na Marafiki Makomandoo raha sana kwani huonewi kijinga kijinga na Masela.
Mkuu,usisahau kupita na pale Makongo,even though,afande Miraji is no more,umwage hata mvinyo pale nje kwa heshima yake!
 
Hivi mkitumia muda mwingi kuangalia huyu kaja yule hajaja itasaidia nini. Mi nilizani kama watalaam as great thinkers tungekuwa tunajadili issues na sio nani kaja nani hajaja. Mfano tukajadili maudhui ya sherehe ya mwaka huu. Tunatarajia nini kama taifa na mengineyo.
 
Back
Top Bottom