Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Tutapeana hapa kinachojiri kwenye maadhimisho haya. Viongozi mbalimbali wa kitaifa,wastaafu na wa sasa,wanaendelea kuwasili.

Vikosi vya gwaride viko tayari kwa maadhimisho hayo. Kwasasa anawasili Waziri Mkuu Majaliwa K. Majaliwa
Wewe upo Gamboshi unatuletea habari za Dar
 
Hizi nissani ni za zamani sana,sijui wanazipendea nini
 
Hivi Petro umekwenda shule kweli hakuna inchi inayoitwa Tanzania bara wewe unazungumzia inchi gani
 
Hata mimi nashangaa sana. Hakupaswa kufanya hivyo

Ni kosa kubwa sana kwani anaingilia Kazi / Majukumu ya Watu. Kwanini huyu Mtu hapewi mafunzo ya kumbadili kutoka kuwa Mtu wa kawaida kama alivyokuwa, Mkuu wa Wilaya na Ukuu wa Mkoa alionao sasa hasa wa Kiitifaki? Anaboa bhana!
 
Back
Top Bottom