Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Bado nakataa sababu ulinzi alionao Rais wetu ni imara sana na hauna mfano, mbona mikoani anapanda gari moja na RC?
Unaweza kutoa mfano hai wa unachokisema??
 
Ni kosa kubwa sana kwani anaingilia Kazi / Majukumu ya Watu. Kwanini huyu Mtu hapewi mafunzo ya kumbadili kutoka kuwa Mtu wa kawaida kama alivyokuwa, Mkuu wa Wilaya na Ukuu wa Mkoa alionao sasa hasa wa Kiitifaki? Anaboa bhana!
Kumbuka mkoa uko chini ya UKAWA, inawezekana amepewa power of utonomy kwa mkoa wa Dar.
 
Our lovely mama first lady yuko wapi leo...ama mzee kamchezeshea the alleged makofi tena?I hope hizi tuhuma si za kweli, I see her to be a very decent woman, she doesn't deserve any bad treatment
 
Mkuu,usisahau kupita na pale Makongo,even though,afande Miraji is no more,umwage hata mvinyo pale nje kwa heshima yake!

Mkuu Makongo sipiti ng'o kwani kuna Binti wa Afande mmoja nilikuwa nambandua alinizingua nikampa Kichapo cha Kimusoma Musoma na hadi leo Mshua wake ananimaindi sana hivyo nikienda pande za Makongo sitokuwa na tofauti ya Mbwa amwonapo Chatu ambapo hujipeleka mwenyewe kuliwa / kumezwa.
 
Anadhani anavyoingilia kazi za Ma meya na wenyeviti wa mitaa ndio kila mahali. Pale anaweza kuharibu jambo waka mzabua kofi bure! Kwenye suala la usalama hawatambui mkuu wa mkoa ni nani.
Kuna mhimili wa siri aliopewa ili aweze kupambana na UKAWA.
 
Anamaliza kwanza na Waburundi katika suala zima la kutafuta Amani kwani anaona wanampa tu headache kwa matatizo yao yasiyoisha kila kukicha.

Mkuu sio Ben Nkapa bali ni Ben Saa 8.
 
Our lovely mama first lady yuko wapi leo...ama mzee kamchezeshea the alleged makofi tena?I hope hizi tuhuma si za kweli, I see her to be a very decent woman, she doesn't deserve any bad treatment
Acha kumkejeli mtu anayelala uchi na Rais
 
Tatizo mkuu ni kuwa ulipoona makomandoo na kwa kuwa wewe u mwizi wa demu wake basi woga ukakujaa. Chunguza kidogo ukiipata hiyo clip kuhusu hayo matofali. Au chukua clip ya sehemu ya matofali mwonyeshe fundi ujenzi akuambie hayo matofali ambayo yakipigwa nyundo moja badala ya kuvunjika yenyewe yana mengenyuka na kugeuka unga ni vipi?
Utagundua kuwa hata wewe waweza kuwa komandoo. Hayo ni yale ya Ratio ya Mfuko 1= tofali 200
Vipi tukijaribu kukupiga wewe na hayo matofali ambayo ratio yake ni 1:300?
 
Mtoa mada nahisi umekosea kichwa cha habari. Ni sherehe za kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika
 
Tatizo mkuu ni kuwa ulipoona makomandoo na kwa kuwa wewe u mwizi wa demu wake basi woga ukakujaa. Chunguza kidogo ukiipata hiyo clip kuhusu hayo matofali. Au chukua clip ya sehemu ya matofali mwonyeshe fundi ujenzi akuambie hayo matofali ambayo yakipigwa nyundo moja badala ya kuvunjika yenyewe yana mengenyuka na kugeuka unga ni vipi?
Utagundua kuwa hata wewe waweza kuwa komandoo. Hayo ni yale ya Ratio ya Mfuko 1= tofali 200

Mkuu bado hujanishawishi na naona kama vile unataka nikafe mubashara. Haya sawa yale matofali ni ya magumashi je na ile misumari 200 nayo ni feki? Mkuu hivi unanipenda na kunitakia mema kweli kwa aina yako hii ya ushawishi kwangu?
 
Our lovely mama first lady yuko wapi leo...ama mzee kamchezeshea the alleged makofi tena?I hope hizi tuhuma si za kweli, I see her to be a very decent woman, she doesn't deserve any bad treatment
Don't judge a book by its cover
 
Our lovely mama first lady yuko wapi leo...ama mzee kamchezeshea the alleged makofi tena?I hope hizi tuhuma si za kweli, I see her to be a very decent woman, she doesn't deserve any bad treatment
Hili swali chokonozi mno. Ngoja waje wahusika kulijibu.
Sema nini yule mama, ashukuriwe Mungu kwa kumpa roho ya uvumilivu, najua kabisa atakuwa anakutana na "misalaba" mizito sana. Laiti angekuwa Sundi, mboga na ugali vingekuwa vinamwagwa kila siku.
Nachompendea hajawahi tafuta attention ya vyombo vya habari.
 
Hivi inamaana mikoa ya Ukanda wa Pwani na Zanzibar ndo kuna ngoma za asili? Mbona sioni ngoma za waha, wasukuma, wahaya n.k.
 
Back
Top Bottom