Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Kha, sijui kwa nini siko moved na haya mambo. Najitahidi kuipenda hii nchi nsshindwa kabisa! Siko impressed hata kidogo na yoote yanayofanyika hapo! Kha!
Unàonaje ukitafuta nchi ambayo uko impressed nayo, utupunguzie jam hapa nchini kwetu??[emoji15] [emoji15]
 
Mkuu bado hujanishawishi na naona kama vile unataka nikafe mubashara. Haya sawa yale matofali ni ya magumashi je na ile misumari 200 nayo ni feki? Mkuu hivi unanipenda na kunitakia mema kweli kwa aina yako hii ya ushawishi kwangu?
Wanaume huwa hawaogopani mkuu
 
Binadamu tunatofautiana aisee,yani mtu kaamka asubuhi kaoga kavaa,kapanda daladala kutoka tegeta madale kaenda uwanja wa taifa kusherehekea uhuru..dah
Hata kama alikosa dawa hospitali, mkewe kujifungua aliambiwa alipe 150,000 bado anasheherekea nchi yake kuwa huru.
 
Hawa wanyakyusa na ngoma zao za asili bora wamalize tu

Halafu uzoefu unaonyesha hawa wacheza ngoma za asili huwa wanaingia uwanjani wamelewa ile mbaya. Wenyewe wanaita kukata stimu
 
Baada tu ya kumaliza kuona demo ya Makomandoo iliyoisha hivi punde nimeamua rasmi kuachana rasmi na Demu wangu mmoja ambaye Bwana wake nae ni Komando. Bado nayapenda sana maisha halafu sioni sababu ya Mimi kuteseka wakati muhusika mwenyewe tu kaweza kuivumilia misumari kama 200 imchome mgongoni mwake huku wenzake wakimtimba na kumkanyaga na Jamaa kaamka akiwa yupo fiti tu. Sasa sijui akinifumania nae Demu wake atanifanyeje! Mpenzi wangu nakupenda sana ila Mumeo Komandoo huyo anapendwa zaidi na misumari na yale matofali hivyo isiwe taabu / shida tuachane tu tafadhali.
Hehehhehe mkuu Genta hahahahahahah acha uoga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Baada tu ya kumaliza kuona demo ya Makomandoo iliyoisha hivi punde nimeamua rasmi kuachana rasmi na Demu wangu mmoja ambaye Bwana wake nae ni Komando. Bado nayapenda sana maisha halafu sioni sababu ya Mimi kuteseka wakati muhusika mwenyewe tu kaweza kuivumilia misumari kama 200 imchome mgongoni mwake huku wenzake wakimtimba na kumkanyaga na Jamaa kaamka akiwa yupo fiti tu. Sasa sijui akinifumania nae Demu wake atanifanyeje! Mpenzi wangu nakupenda sana ila Mumeo Komandoo huyo anapendwa zaidi na misumari na yale matofali hivyo isiwe taabu / shida tuachane tu tafadhali.
Makomando vitambi wasikutishe hawana mazoezi hao
 
Unàonaje ukitafuta nchi ambayo uko impressed nayo, utupunguzie jam hapa nchini kwetu??[emoji15] [emoji15]
Sasa kama hayuko impressed asiseme?
Ana haki hiyo pia
Kama wewe ulivyo na haki ya kuyakubali
 
Hivi inamaana mikoa ya Ukanda wa Pwani na Zanzibar ndo kuna ngoma za asili? Mbona sioni ngoma za waha, wasukuma, wahaya n.k.
Mkuu, hujaona za wanyakyusa na wamatumbi au ulitaka makabila yote yaonyeshe ngoma zao hapo
 
Hili swali chokonozi mno. Ngoja waje wahusika kulijibu.
Sema nini yule mama, ashukuriwe Mungu kwa kumpa roho ya uvumilivu, najua kabisa atakuwa anakutana na "misalaba" mizito sana. Laiti angekuwa Sundi, mboga na ugali vingekuwa vinamwagwa kila siku.
Nachompendea hajawahi tafuta attention ya vyombo vya habari.
Mimi ninachoshangaa ule utall wote anashindwa kumrushia makonzi yule bwana mfupi?
 
Mkuu bado hujanishawishi na naona kama vile unataka nikafe mubashara. Haya sawa yale matofali ni ya magumashi je na ile misumari 200 nayo ni feki? Mkuu hivi unanipenda na kunitakia mema kweli kwa aina yako hii ya ushawishi kwangu?
Ile misumari unaweza ikalia na isikudhuru sababu ya wingi, ningewaelewa kama ungekuwa msumari mmoja tu then wafanye yale wanayo yafanya hahahaaaa
Hospital zinge jiandaa kupokea majeruhi...
 
Mwalimu nyerere taifa lina tembo siku hizi na mwinyi amesema.
 
Komando wanakunja nondo kwa mikono

Komando wanapigana kwa fito hadi kuvunjika

Sasa ni zoezi la kuvuja tofali kifuani na kichwani mwa komando

Komando analalia misumari mgongo wazi

Komando wanasukuma gari lililoharibika hadi kutembea
Level ya hawa makomandoo na walichoonyesha ni aibu kwa taifa na kuwaita makomandoo ni kushusha hadhi ya hilo jina na ndio wale wakimarekani wanaitwa special force/ marine. Hawa ukiwapeleka kule marekani kwenye mafunzo ya miezi sita hata wiki moja hawatamaliza watakuwa wamerudi wachache wakiwa hai
 
Back
Top Bottom