Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Watu wafupi wanakuwaga wababe sana, unamkung'uta makonzi, hawezi kulalamika kokote kuwa mke wangu alinipiga.
Huwa wanajihisi wanadharaulika ila hawajiamini so hyo ndo defense mechanism yao. Walah mama aache ugoi goi amtafte mama lodilofa ampe darasa aisee
 
JPM: hii ni sherehe ya mwisho lufanyika hapa Dsm
-mwakani ni dodoma
-leo hakuna msosi tukimaliza hapa tumemalizana
-tumepata mafanikio makubwa sana tangia uhuru.
- mipaka iko salama tumefumisha amani tangia uhuru wananchi ni wampja hatubaguani kwa misingi ya dini kabila au rangi.
Ni vema watz tukajipongeza.
 
Hebu tuache utani, hivi kama Lowasa angeweza kweli kuvumilia vishindo vya mizinga hii kweli? Mungu ametupa rais imara sana, asante Mungu
Mungu mtu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sherehe zijazo ni Dodoma, mi nilifikiri zinafanyika ktk uwanja wa uhuru kama kumbukumbu flan hivi, au sielewi bendera ya kwanza ilipandishwa uwanja upi?
 
Leo hamna ubwabwaa via State Banquet... Hivi hii ni niniii....
I agree bana matumizi buuuht mwee japo watu walage kidogo mweeh
 
Back
Top Bottom