habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
huyo mama kazi anayo, tangu kipindi cha kampeni hata siku ile kikwete anamkumbusha amtambulishe mkewe jibu alilotoa pale halikuwa zuriMkuu anasema Mwinyi kamwambia awe na wake wawili ili aishi miaka mirefu. Huku ni kumfulastrate mama