Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

 
 
Ni kosa kubwa sana kwani anaingilia Kazi / Majukumu ya Watu. Kwanini huyu Mtu hapewi mafunzo ya kumbadili kutoka kuwa Mtu wa kawaida kama alivyokuwa, Mkuu wa Wilaya na Ukuu wa Mkoa alionao sasa hasa wa Kiitifaki? Anaboa bhana!
Mwenye sifa ana sifa tu hata umuingizie ufahamu akilini mwake hatoacha Tabia yake ! Huyu bwana wetu sipata picha livyokua shule ya msingi na kihele hele hiki sijui alikuaje Loh
 
Umesahau kusema,
Msemakweli ni mpenzi wa mungu.
 
Ni kwa usalama tu. Hata viongozi wa mihimili mingine ya Dola kila mmoja wao huwa na gari lake na ulinzi. Leo kwa mara ya kwanza Mawaziri na Manaibu wao pamoja na Makatibu wakuu wamepanda mabus madogo maalumu kwa pamoja
Hiyo ni zuri sana inapunguza gharama na kuimarisha mahusiano.
 
.., wale wale wananchi ambao mwaka jana (2015) mwezi kama huu (desemba) walishangilia kweli sherehe za uhuru zilopohairishwa kwa kisingizio cha 'kubana matumizi' na fedha zile kuelekezwa kwenye matumizi mengine., tukielezwa tufanye usafi nchi nzima..,

..., mwaka huu (2016) ndiyo wananchi hao-hao leo wanasherekea na kushangilia tena wakati maadhimisho yale ambayo mwaka jana yalikataliwa kwa kisingizio cha kubana matumizi, leo wakati yanafanyika.., tena wananchi wale-wale wakishangilia kwa vifijo na nderemo wakisema Hapa Kazi Tu..,

[emoji1485] wananchi hawa siyo watu wa mchezo-Mchezo, wanakwenda na namna unavyovuma.
[emoji1485] wananchi hawa wanacheza kila wimbo, hata wimbo reggae wao wanakata Viuno.
[emoji1485] wananchi hawa, ni rasmi wamekuwa wepesi kusahau, sasa wameruhusu watawala waone udhaifu wao, na bado!
[emoji1485] ni rahisi sana Kuwaongoza watu wa aina hii.., leo wakisikia hivi OYEE, kesho wakisikia hivi OYEE!
[emoji1485]Wale wananchi ambao mwaka jana walisema ahsante kwa kuondoa sherehe za maadhimisho haya.., leo ndiyo wameingia katika uwanja wa uhuru (shamba la Bibi) tangu alfajiri.., ajabu sana!
[emoji1485] hata mwaka mmoja haujapita, tumesahau kabisa tuliambiwa nini 2015 (Desemba) , na sasa 2016 (Desemba) tunashangilia kile ambacho tulisema kwa pamoja ni gharama na hasara kuadhimisha sherehe hizi.., WADANGANYIKA!

T U S A M E H E,
 
Nilivyoskia tu kwamba mtukufu ana maneno mawili-matatu ya kuongea na waTZ, akili yangu moja kwa moja nilijua tu anataka kuyataja "Mabombadia yake".....
Kwani dakika zilipita basii!?.....vitu vikaanza kushuka......"Tumeleta bombadia kyu seveni handuredi naini ziro..."
Nikasema "ohooo...kumekucha"
Nikalizima li-TV lenyewe nikasepa.....
BOMBADIA,BOMBADIA.....
Huchoki??
 
Mkuu kuna mzee mmoja alikuwa anachangia kwenye kipindi cha malumbano ya hoja-ITV, alisema hivi, "watz ni watu wa ajabu sana, umeme ukikatika wanashangilia, ukiwaka wanashangilia, sasa sijui tunataka giza au mwanga maana vyote tunavishangilia"
Ulichosema hapa hakina tofauti sana alichosema huyo mzee, inawezekana ni kweli hatujui tunataka nini....!
 
Mkuu bado hujanishawishi na naona kama vile unataka nikafe mubashara. Haya sawa yale matofali ni ya magumashi je na ile misumari 200 nayo ni feki? Mkuu hivi unanipenda na kunitakia mema kweli kwa aina yako hii ya ushawishi kwangu?
Nakupenda sana ndugu yangu ndio maana sitaki umpoteze huyo shemeji eti kwa mkwara wa tofali soft kuvunjiwa kifuani au kutishiwa misumari ambayo huna uhakika kama siyo ya bati na imegeuzwa.
Komaa naye tuu, yakizidi matisho mlete akae kwangu na huyo komandoo atajua mimi ndiye Chakaza.
kwi kwi kwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…