Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Rais Magufuli: Tutajihidi kutatua kero zenu kwa uwezo wetu wote bila kubagua mtu kwa dini yake, kabila lake au chama chake.
I hope anmaanisha hivyo ....................!!

Malalamiko ya yule Sheikh yatapungua ................!!
 
1.Tulizoea siku kama ya leo,misamaha ya wafungwa ikitolewa,au maofisa wa magereza wamesahau kupeleka orodha ya wafungwa wanaostahili kupata 'msamaha wa Rais'?!.
2.Kuwa na viongozi wastaafu kwenye sherehe ni ishara njema kwa taifa,kuwa na mshikamano,mashauriano na kuonyesha kujali busara na ushauri wa wazee na wastaafu!
Hapo ndio utaona nafasi ya Lyatonga Mrema
 
Ki protokali na kiusalama SI VYEMA. Rais, Makamu wake na Waziri mkuu kupanda gari moja. Kwa mtazamo wangu binafsi!
 
Hivi najiuliza Rais, Makumu wake na PM hawawezi kupanda gari moja kwenda uwanjani? Tuna bana matumizi pamoja na kupunguza foleni.
Ni kwa usalama tu. Hata viongozi wa mihimili mingine ya Dola kila mmoja wao huwa na gari lake na ulinzi. Leo kwa mara ya kwanza Mawaziri na Manaibu wao pamoja na Makatibu wakuu wamepanda mabus madogo maalumu kwa pamoja
 
mbona inatembeza mabakuli ya kuomba msaada..?
Hizi mambo zinahitaji ujuaji zaidi.Kwani hujawahi kuona rambirambi ikichangishwa kwenye misiba ya matajiri
 
Back
Top Bottom