miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Leo sikukuuDuuuh... Leo kajitahidi maana angeweza kutumbua hapo uwanjani.... Akili yake anaijua mwenyewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo sikukuuDuuuh... Leo kajitahidi maana angeweza kutumbua hapo uwanjani.... Akili yake anaijua mwenyewe...
Rais Magufuli: Niliamua kusitisha sherehe za mwaka jana kwa sababu kuu mbili; kwanza Sherehe za mwaka jana zingefanyika kabla sijaapishwa, pili sherehe zingegharimu shiling bilioni 4. Nilielekeza hizo bilioni 4 zitumike kujenga barabara.
Kwa hiyo kuanzia mwakani ........ kila kitu Dodoma!!? Wana Dar ndiyo wanafanyiwa sherehe ya kuwaaga hivyo!!Rais Magufuli: Sherehe za miaka 55 ya uhuru nimeamua zifanyike hapa kwani zitakuwa ndo sherehe za mwisho kufanyika Dar es salaam, Sherehe nyingine zote zitafanyika Makao makuu Dodoma.
Uliona eeh...ni noma...kama muvi vileHahahhahahahah..na shades zake zile utamtakaa lol
kwani wamezuia barabara?Bado hamjatoka ? Nataka kupita mimi.
Sikukuu isiyokuwa na pilau ikuluLeo sikukuu
Dah....simpo sana..unatinga suti yako ya daki bluu .... unajichanganya nao...unapiga ubwabwa wao Safiii...kisha unasepa kimyakimya[emoji13] [emoji13]Hahahahha,hivi White House huwaga kuna kuzamia sherehe kweli?
Mtakunywa majiSikukuu isiyokuwa na pilau ikulu
Hii ni kweli!!? Ina maana alitoa amri ya kuzuia sherehe ya Uhuru kabla hajawa Rais? Au Watanzania hatuna kumbukumbu!!
nimestaajabu sana kwa kweli na bado natafakari hiyo kauli
Hamna namnaaMtakunywa maji
Nadhani kulinda watu waliokaa sehemu moja tu wametulia sio sawa na wanao safiri kwenye chombo kimojaMkuu hujanishawishi sababu kama ni usalama mbona uwanjani wanakaa pamoja?
yeye mwenyewe so mwislam kama mwisla basi mwisala jina .mwambie hiyo salam haiko hivo.Akishasalimia hiyo salamu ya kiarabu ndio itaongeza nini katika pato la taifa au living standard ya watanzania?