Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Rais Magufuli: Niliamua kusitisha sherehe za mwaka jana kwa sababu kuu mbili; kwanza Sherehe za mwaka jana zingefanyika kabla sijaapishwa, pili sherehe zingegharimu shiling bilioni 4. Nilielekeza hizo bilioni 4 zitumike kujenga barabara.

Hii ni kweli!!? Ina maana alitoa amri ya kuzuia sherehe ya Uhuru kabla hajawa Rais? Au Watanzania hatuna kumbukumbu!!

Rais Magufuli: Sherehe za miaka 55 ya uhuru nimeamua zifanyike hapa kwani zitakuwa ndo sherehe za mwisho kufanyika Dar es salaam, Sherehe nyingine zote zitafanyika Makao makuu Dodoma.
Kwa hiyo kuanzia mwakani ........ kila kitu Dodoma!!? Wana Dar ndiyo wanafanyiwa sherehe ya kuwaaga hivyo!!

Hivi sherehe za Uhuru lazima zifanyike Makao makuu ya nchi tu!!

Anyway, anajuaje kama Rais ajae atafanya the same!!?
 
1.Tulizoea siku kama ya leo,misamaha ya wafungwa ikitolewa,au maofisa wa magereza wamesahau kupeleka orodha ya wafungwa wanaostahili kupata 'msamaha wa Rais'?!.
2.Kuwa na viongozi wastaafu kwenye sherehe ni ishara njema kwa taifa,kuwa na mshikamano,mashauriano na kuonyesha kujali busara na ushauri wa wazee na wastaafu!
 
Hahahahha,hivi White House huwaga kuna kuzamia sherehe kweli?
Dah....simpo sana..unatinga suti yako ya daki bluu .... unajichanganya nao...unapiga ubwabwa wao Safiii...kisha unasepa kimyakimya[emoji13] [emoji13]
 
Mkuu hujanishawishi sababu kama ni usalama mbona uwanjani wanakaa pamoja?
Nadhani kulinda watu waliokaa sehemu moja tu wametulia sio sawa na wanao safiri kwenye chombo kimoja
 
Magufuli yupo tafauti sana, haishi kwa mazoea....
 
Ahsante mungu! Mtukufu amemaliza hotuba yake bila maneno ya ukakasi wala kumtumbua mtu direct jukwaani
 
Back
Top Bottom