simba hali tete hapa,kocha ,wachezaji,mashabiki wote wanatetemeka tu hapa uwanjani,leo sijui
Lazma watetemeke hao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simba hali tete hapa,kocha ,wachezaji,mashabiki wote wanatetemeka tu hapa uwanjani,leo sijui
Ovyo tu hawa hawana lolote wanaiharibu soka ya bongo
Twite anarusha mpira huyu mtu.......Ni balaa
Karibu.... tunatafuta cha pili...kawaida huwa kinachelewa kidogo..
Karibu.... tunatafuta cha pili...kawaida huwa kinachelewa kidogo..
Dah.......Mkude anamchezea rafu mbaya sana Domayo......
Kadi ya njano.....
sasa ww unachobisha ni nini hapo? au cha ajabu nini hapo?
Simba 2 yanga o