Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Nadhani refa hakuiona vizuri....ilibidi apewe Red
Na pia Tanzania huwa hakuna mawasiliano kati ya Refa na wasaidizi wake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani refa hakuiona vizuri....ilibidi apewe Red
Jamhuri Kihwelo.....
karibu, huku ni ushindi tu!
Karibu.... tunatafuta cha pili...kawaida huwa kinachelewa kidogo..
hiyo hali ya washabiki lakini si kinachotendeka uwanjanisimba hali tete hapa,kocha ,wachezaji,mashabiki wote wanatetemeka tu hapa uwanjani,leo sijui
Simba 2 yanga o
Karibu.... tunatafuta cha pili...kawaida huwa kinachelewa kidogo..