Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
benchi la ufundi la sima lote ni la kufukuza
 
Duh! Ingekuwa Ulaya timu yangu ya Liverpool ndo inafungwa ningehama fasta, ila kuhama simba ni kama kubadili jinsia. Ila jamaa wanatudhalilisha
 
...hiyo ndo faida ya kuchezesha watoto; makosa makubwa aliyofanya Ramadhani Singano yanaigarimu Simba
 
Hawa Simba wamekuwa Man U mbele ya Man City, wanaonekana wanacheza kwa hofu.
 
jamani hali tete kwa simba hapa,nawaonea huruma mlioolewa na mashabiki,wachezaji na makocha wa simba,sikui itakuaje huko majumbani,hii ndio yanga bhana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…