Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
tuliza hasira mpira dk 90
umeonaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuliza hasira mpira dk 90
Ally Mustapha BARTHEZ, namba zake za simu huzihitaji?Hana mchecheto kabisa....naomba jina lake aisee
Simba nauhakika wamepewa rushwa wawapatie yanga magoli.
Hawa wachezaji shenzi type sana, mawili kipindi cha kwanza si tutafungwa kumi leo.
jaman kwan hiki ni KIPINDI CHA PILI????
Yanga timu funga simba bao 4 kwa bila msomali arudi kwao akajiunge na al-shabaab.