Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Uwiiii..yanga ndo wameamua kuokoa maisha ya steven. Akishangilia co uungwana maana cku simba wanashangilia yeye analia eti co uungwana
 
Duh! Ingekuwa Ulaya timu yangu ya Liverpool ndo inafungwa ningehama fasta, ila kuhama simba ni kama kubadili jinsia. Ila jamaa wanatudhalilisha

Mkuu leo tumenyanyasika sana, sijui kama nitapata usingizi vizuri, kuna hatari ya kuweweseka.
 
Apakatweeeeeeeeeeeeeeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee........
 
leo muda muafaka wa kufuta zile 6 za miaka hiyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…