Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado mda lolote laweza kutokeaumeonaaaaaa
Duh! Ingekuwa Ulaya timu yangu ya Liverpool ndo inafungwa ningehama fasta, ila kuhama simba ni kama kubadili jinsia. Ila jamaa wanatudhalilisha
Teh! teh! teh! teh! teh!cha tatu....hadi raha
hahahaha na bado,hiyo ni trela tuYanga shenzy sana.
Simba nauhakika wamepewa rushwa wawapatie yanga magoli.
Ally Mustapha BARTHEZ, namba zake za simu huzihitaji?
bado mda lolote laweza kutokea
Simba imelala doro
mashabiki wa simba wamesusa uwanjani.