Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mpwa umezinduka sasa...teh teh!!!
Mpwa hakuna siku uliyonipa presha kama leo.
Na bahati nzuri hakuna siku uliyonipa presha kama leo.
Leo ilikuwa mturudishie zile sita zetu. Hamtaweza tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa umezinduka sasa...teh teh!!!
Waonee huruma bha.Wewe na ACCOUNT FULL ban zinawahusu.
Yanga na Azam TV bado hawana makubaliano mkuu, mechi ya leo imeoneshwa kwa sababu Simba ndio walikuwa wenyeji....Mbona nahodha wa Yanga hajahojiwa na AzamTV??
Au bado Yanga na Azam kuna bifu??
Kwa mazingira ya hii sare, Simba WAMESHINDA.
Hata wewe unashangilia droo na kuenguliwa kileleni!? Basi haya majanga no wonder timu ya Watanzania kuongozwa na Msomali.
alisema hii mechi wakipoteza anajinyongaSimba ni damu nyekundu ukijikata ukaona unnjano huo ni uchafu wa usaha wa yanga. Yanga uozo 3-0 then kidume Simba kazirudisha Yule mshabiki wenu kulialia atahama yanga soon.
Mkuu Balantanda kwa haya matokeo ni kama tumeshinda vile, Ruvu shooting walitufunga goli moja na tulitoka jasho kusawazisha goli moja tu leo tumesawazisha goli tatu tena ya ukuta unaominiwa kuwa ni imara kabisa kwa nini tusifurahi, hata kama Simba tungekuwa tumeanza kuongoza na nyie mkasawazisha ningeona kama vile tumefungwa tu. Kuna post moja niliuliza naweza kuwapongeza kabla ya dakika 90, hakuna aliyenijibu sijui mlijua hamtashinda hii mechi.
Masuke Masuke Masuke mtani wangu.......
Unashangilia sare?........Hongereni sana kwa kuishinda Yanga magoli matatu mtani......
Simba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kwa mechi kama ya leo si mbayaMnashangilia droo?
mkuu hii mechi hata imekuaje kuaje yani
Arafu leo nilitegea zile tano (5) zinge rudi.Ila mimi ndie mshindi.Kwa mazingira ya hii sare, Simba WAMESHINDA.
Mkuu....mimi ni Yanga lakini imefika mahali nimenyoosha mikono juu na kusema msimu huu Simba ni bora kuliko Yanga na ubingwa utakwenda Msimbazi, thanks to the genius of King Kibadeni.
Timu yoyote yenye uwezo wa ku-cancel a 0-3 deficit hiyo ni championship material. Simba msimu huu the championship is yours to lose!
Kwa Yanga, msimu huu timu hakuna but it is a bunch of expensive players with full of ego ambao hawaichezei timu yetu kwa kujituma - labda Ngasa tu.