Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Azam FC na Mbeya City ndio wako kileleni kwa point 20 kila mmoja mkuu....Azam wanaongoza kwa GD.....Simba wana point 19# 3 points clear wametolewaje kileleni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam FC na Mbeya City ndio wako kileleni kwa point 20 kila mmoja mkuu....Azam wanaongoza kwa GD.....Simba wana point 19# 3 points clear wametolewaje kileleni?
Back on fire from Behind 3 goals...tena kipindi cha pili,washachoka lakini still they manage? Mi nadhani wapewe credit kama wanaume,,,OverEti simba madume,mngepigwa tatu dk 45 za mwanzo?kwa hiyo mmefurahia sare,uanaume wenu upo wapi?
Masuke.............Unashangilia sare??????????Mkuu Balantanda kwa haya matokeo ni kama tumeshinda vile, Ruvu shooting walitufunga goli moja na tulitoka jasho kusawazisha goli moja tu leo tumesawazisha goli tatu tena ya ukuta unaominiwa kuwa ni imara kabisa kwa nini tusifurahi, hata kama Simba tungekuwa tumeanza kuongoza na nyie mkasawazisha ningeona kama vile tumefungwa tu. Kuna post moja niliuliza naweza kuwapongeza kabla ya dakika 90, hakuna aliyenijibu sijui mlijua hamtashinda hii mechi.
Wewe na ACCOUNT FULL ban zinawahusu.
Ok I ddnt knw...Hembu wekeni table full basi tuichambue BalaAzam FC na Mbeya City ndio wako kileleni kwa point 20 kila mmoja mkuu....Azam wanaongoza kwa GD.....Simba wana point 19
Yanga hamjanitendea haki kabisa siku ya leo.
Frankly speaking nchi itaendelea kudumaa na haitokaa ipate mafanikio katika soka, inasikitisha sana mtu mzima kuwa kama zuzu kushangili droo badala ya kulika kitimoto benchi la ufundi ni kwa nini timu iruhusu kufungwa goli 3 kwa dakika 45? Hii ni kwa timu zote mbili.
# 3 points clear wametolewaje kileleni?
Mnyama ni mnyama tu. kandambili ni za kuendea chooni.
Simba raha sana
Masuke.............Unashangilia sare??????????
Masuke Masuke Masuke mtani wangu.......Wewe nawe kama una timu yako kaiweke kitimoto, timu inapangua goli tatu unaona kazi rahisi ni kweli ilikuwa ni uzembe kuruhusu yale matatu ya mwanzo lakini mabeki hao hao waliofanya uzembe ndo wamefunga, kama ni uzembe basi Yanga ni wazembe zaidi.
Mnyama ni mnyama tu. kandambili ni za kuendea chooni.
Simba raha sana
Kwa mazingira ya hii sare, Simba WAMESHINDA.