Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
318029_567810716565625_1832134858_n.jpg


Mkuu kbm wewe ni mchoraji nini!mbona naona leo unatupa vitu vizito namna hii?!,leo ni hatari barabara imefurika mkuu nisaifie walinzi wa kulinda gari langu aisee,kwa sbb hala naona hali inaweza isiwensahihi!!
 
Ticket. tatizo kubwa huko,,Nimeshindwa toka saa 4asubuhi zinaanzia 20,000/!familia je??
 
A cha kutisha watu ww...kama unawajua wataje....hivi nchi ya amani
 
Yanga.
1.Banthez
2.Twite
3.Luhende
4.Yondan
5.Canavaro
6.Chuji
7.Ngasa
8.Domayo
9.Kavumbagu
10.Kiiza
11.Niyonzima.

Haya mashabiki wa simba na niye ongezeeni hapo timu yenu.
 
Yanga wakitufunga leo narudisha kadi ya CCM#Simba Taifa Kubwa,tunapiga Yeboyebo
 
Wote kiboko yenu ni mbeya city na azam. Leo simba na yanga wanaingia uwanjani mawzo yao yako kwa hizo timu mbili. Simba na yanga zilikuwa enzi hizo wachezaji walikuwa na uzalendo.
 
Yanga.
1.Banthez
2.Twite
3.Luhende
4.Yondan
5.Canavaro
6.Chuji
7.Ngasa
8.Domayo
9.Kavumbagu
10.Kiiza
11.Niyonzima.

Haya mashabiki wa simba na niye ongezeeni hapo timu yenu.

naona kikosi kimejaa 'made in Msimbazi' hafu mbwembwe nyiiingi.i seen Batez,Yondani,Chuji,Ngasa nk
 
Leo kweli mtoto hatumwi dukani,
Yanga nipigieni hao watu ili niondokane na ban ya siku tatu niliyoomba.

Mkuu uliomba ban kandambili tukipigwa? Mbona huwa mnajitafutia matatizo kiasi hicho? Leo ban inakuhusu, najua mnyama atapitia kwa LUHENDE kutuua, labda NIYO asiwe anapiga kambi huko mbele! Nina hofu na mnyama mkuu!
 
UTARATIBU KWA SIKU YA LEO - UWANJA WA TAIFA:


Ni Magari maalumu tuu kuingia uwanja wa Taifa.


Magari yenye shughuli maalumu tu ndiyo yanayoruhusiwa kuingia uwanja wakati wa mechi ya leo kati ya Simba na Yanga - kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mechi inaanza saa 10 kamili jioni, na kila timu inaruhusiwa kuingia na magari matatu tu; gari la timu na mengine mawili ya viongozi.


Ukaguzi wa kuingia uwanjani ni kwa watu wote, kwani utaratibu huu si wa kumdhalilisha mtu bali lengo lake ni kuhakikisha usalama.

Vilevile watu hawaruhusiwi kuingia uwanjani na mifuko ya aina yoyote ikiwemo mabegi, isipokuwa kwa waandishi wa habari wanaotumia mabegi hayo kwa ajili ya kubebea kamera zao.


Pia hakuna wafanyabishara watakaoruhusiwa kufanya biashara katika maeneo yanayozunguka uwanja.

Kwa washabiki watakaokuwa katika mazingira ya kuwa kero kwa wenzao wakiwemo walevi hawataruhusiwa kuingia uwanjani, pamoja na wale wenye silaha kama bastola ambapo wakikamatwa watafikishwa polisi na baadaye kufunguliwa mashtaka kortini.


Barabara ya Uwanja wa Taifa imefungwa kuanzia saa 2 asubuhi upande wa Chang¡¯ombe.


Washabiki walitakiwa kununua tiketi zao mapema kuanzia jana (Jumamosi) ambapo ziliaanza kuuzwa katika vituo mbalimbali kuanzia saa 4 asubuhi.


Vituo hivyo ni:
Mgahawa wa City Sports Lounge,


Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa,


Sokoni Kariakoo,


Mgahawa wa Steers ulioko mtaa wa Ohio/Samora,


Oilcom Ubungo,


Kituo cha Mafuta Buguruni,


Dar Live Mbagala,


Uwanja wa Uhuru,


Mgahawa wa Brake Point uliopo Kijitonyama na


BMM Salon iliyoko Sinza Madukani.., nk.
 
Yanga.
1.Banthez
2.Twite
3.Luhende
4.Yondan
5.Canavaro
6.Chuji
7.Ngasa
8.Domayo
9.Kavumbagu
10.Kiiza
11.Niyonzima.

Haya mashabiki wa simba na niye ongezeeni hapo timu yenu.

...asante sana...
 
Ngoja ninoe jisu langu, mudu simrefu mijogoo yangu ita pambana, atakae shindwa namchinja.
 
simba leo ni 1 Mohamed Mwameja 2 kasongo athuman 3 twaha hamidu 4 deo njohole 5 fikiri magoso 6 Hussein marsha 7 Abdul mashine 8 Dan muhoja 9 Eddo chumila 10 maloti soma 11 dua said
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom