Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
hapa sasa ni uwanja wa ndege naenda na my wife wangu, tiketi hatuna sijui kama tutapata ika nina uhakika tutaingia
 
nipo Moro natafuta kiwanja kilichotulia nione mpira huu.

Nenda Comfort pale karibu na gereji ya Abood mwone Aisha akupige na Kinana 5 unywe taratibu ukipokea kipigo.
 
hapa sasa ni uwanja wa ndege naenda na my wife wangu, tiketi hatuna sijui kama tutapata ika nina uhakika tutaingia

Tulia vingunguti unywe Azam Cola huku ukiangalia tiketi wamelangua.
 
Nenda Comfort pale karibu na gereji ya Abood mwone Aisha akupige na Kinana 5 unywe taratibu ukipokea kipigo.
Shem Aisha alishahama pale makuti? Ngoja nijisogeze hapo mkuu.
 
Mkuu ACCOUNT FULL. mbona huonekani kukwaani au ndo unafunza pindi utakapokula ban.
 
We omba nichelewe kufika Dar leo,sasa hivi nipo hapa Ruvu darajani.

Kama una usafiri wako mwenyewe ukifika Mbezi pitia njia ya Maramba mawili halafu tokea segerea then Ukonga unaweza kuwahi kama una tiketi tayari.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom