NGANU
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,919
- 393
poleni sana tutawamisi.
Mkuu katavi ondoa shaka kwani mnyama lazima afe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poleni sana tutawamisi.
Afe mnyama afe nasisi huku wa mbeya city tunasema lazma mnyama afe leo tena kifo cha aibu cha ugoni
Leo kweli mtoto hatumwi dukani,
Yanga nipigieni hao watu ili niondokane na ban ya siku tatu niliyoomba.
We omba nichelewe kufika Dar leo,sasa hivi nipo hapa Ruvu darajani.Mkuu ukiwa Dar unacheza namba ngapi au wewe ndo mganga wao?
Wewe ni Yanga mkuu?hapa sasa ni uwanja wa ndege naenda na my wife wangu, tiketi hatuna sijui kama tutapata ika nina uhakika tutaingia
Yawe kama ulivyotabili mkuu ALEYN.
nipo Moro natafuta kiwanja kilichotulia nione mpira huu.
hapa sasa ni uwanja wa ndege naenda na my wife wangu, tiketi hatuna sijui kama tutapata ika nina uhakika tutaingia
kAMA KILE KIFO CHA AIBU CHA YANGA 5 BILA?
Shem Aisha alishahama pale makuti? Ngoja nijisogeze hapo mkuu.Nenda Comfort pale karibu na gereji ya Abood mwone Aisha akupige na Kinana 5 unywe taratibu ukipokea kipigo.
We omba nichelewe kufika Dar leo,sasa hivi nipo hapa Ruvu darajani.
Sogea tbc1 wataonesha, na pia nasikia SS3 wataonesha.Tupieni link wadau ili nasi tujionee huo mtanange
Mkuu @accountfull mbona huonekani kukwaani au ndo unafunza pindi utakapokula ban.