Hivi hiki kikosi kinacheza na yanga 'B' au sijakielewa.
Wewe subiri tu ndo utajua kama kinatakiwa kucheza na Yanga B au timu yoyote barani Africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hiki kikosi kinacheza na yanga 'B' au sijakielewa.
Hivi hiki kikosi kinacheza na yanga 'B' au sijakielewa.
Aise,yani msomali kawakamata mpaka mashabiki?hii never seen before aise lolz!Wewe subiri tu ndo utajua kama kinatakiwa kucheza na Yanga B au timu yoyote barani Africa.
Pamoja mkuu.Angalia tv na usichomoke hapa utashuhudia kila kitu.
Mpira umeanza....kuna historia ambayo naona watu wameamua kujisahaulisha...Yanga kushinda Jpili huwa ni ngumu sana!! Ngoja tuone kama hii rekodi bado ina-exist ama mwiko ulivyavunjwa!!