Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Mkuu NGANU lete updates pls.
Maana nimechelewa na ndio naingia home sasa so siwezi kuwahi taifa.
 
Last edited by a moderator:
Yanga aka yebo wataisoma leo, naona florian kaijage now live tbc 1
 
kocha anaakili sana kumweka kiemba bench hiyo ni mind game kawachezea yebo yebo
 
Attachments

  • Simba kapakatwa.jpg
    Simba kapakatwa.jpg
    19.8 KB · Views: 396
Last edited by a moderator:
Dakika ya pili, Ball Possesion ni 98 kwa 2. Yanga 98 - Simba 2
 
Mtani Katavi nakuona jamvini ukisubiri mtanange wa Leopoldo hahahahaha
 
Mpira umeanza....kuna historia ambayo naona watu wameamua kujisahaulisha...Yanga kushinda Jpili huwa ni ngumu sana!! Ngoja tuone kama hii rekodi bado ina-exist ama mwiko ulivyavunjwa!!
 
Mpira umeanza....kuna historia ambayo naona watu wameamua kujisahaulisha...Yanga kushinda Jpili huwa ni ngumu sana!! Ngoja tuone kama hii rekodi bado ina-exist ama mwiko ulivyavunjwa!!

ukifata historia hata Chelsea isingebeba UEFA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom