Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Leo mtamkumbuka Kaseja.
 
Last edited by a moderator:
Twite anarusha kama kona........

Ni kona kuelekea lango la Simba...

Dhaira anatema sana mpira...

Niyonzima anapiga kona...Dhaira anadaka
 
....mpaka sasa hivi uwezekano wa Simba kusawazisha ni mkubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom