Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Mkuu watu8Dah mechi ya leo nimeikosa yaani ndio nafika Mbagala sasa nikitokea kusini huko...
Tusirudi uwanjani *****. Liwalo na liwe.
Beki yetu inacheza kitoto sana
kabisa mkuu, umechelewa leo mkuu.
mpo uwanjani kama hamko uwanjani....kipindi cha pili hikoooo
JF huu ndo muda muafaka wa kufanya marekesho,fungeni jukwaa
Ulibhuja lya kabili? Bhujaga lya kadatu! Yote hayo kapiga Kiiza ong'wise!