Yaliyojiri Weekend ya jana Kidimbwi

Yaliyojiri Weekend ya jana Kidimbwi

Watu wengi wanaobeti haya huwa ni mawazo yao. Yakiwakaa sana akilini huwa wanayatoa kama stori zilizowakumba/kuzifanya.

Sijasema wewi lakini, japo unaweza kuwa wewe.
Naona umetumia mbinu za kijeshi (Hamonaizi) kufikisha ujumbe😆
 
Mbn kinyonge mamii..lini twende kidimbwi na sisi
Lazima niwe mnyonge baba…maana hata hiyo Moet Sijui ni kitu gani na kinafananaje☹️☹️Ni huzuni sana haya maisha ha yako fair kabisa.

Sasa huko kidimbwi ndugu yangu nitakuwezea wapi mimi.hivi kwanza iko sehemu gani?
 
Jeiefu bhana kunahitaji timetable kabisa..

Yaani muda fulani hadi fulani nitakuwa Jeiefu...

Watu wamekuwa wa hovyo,,, Huyu anatoa 150k mademu wagawane,, mwingine ametelekeza manzi kisa gharama ya lodge ni150k.. hapo bado yule wa last year wa nauli ya Elfu saba analia lia..,, Huyu anajimwambafai kula mademu wawili, mwenzake anafukukua makaburi ya nzuri zilizopita

Vituko sana jeiefu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Lazima niwe mnyonge baba…maana hata hiyo Moet Sijui ni kitu gani na kinafananaje[emoji3525][emoji3525]Ni huzuni sana haya maisha ha yako fair kabisa.

Sasa huko kidimbwi ndugu yangu nitakuwezea wapi mimi.hivi kwanza iko sehemu gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Lazima niwe mnyonge baba…maana hata hiyo Moet
Hiyo moet tutaenda kukujulia hukohuko
Sijui ni kitu gani na kinafananaje☹️☹️Ni huzuni sana haya maisha ha yako fair kabisa.
Ahahah unalalamika sn my dear,one day yes

Sasa huko kidimbwi ndugu yangu nitakuwezea wapi mimi.hivi kwanza iko sehemu gani?
Dah😀..basi unaweza kuta wewe ni mwenyeji wa kidimbwi kuliko Sisi tunaojifanya tunapajua sn..

Nasikia ipo mbezi beach😀
 
Hiyo moet tutaenda kukujulia hukohuko

Ahahah unalalamika sn my dear,one day yes

Dah😀..basi unaweza kuta wewe ni mwenyeji wa kidimbwi kuliko Sisi tunaojifanya tunapajua sn..

Nasikia ipo mbezi beach😀
SH we acha tu ukiwa huna pesa ni huzuni sana.

Tupange siku moja nikija mjini ukanitembeze huko ndugu yangu😔😔
 
Back
Top Bottom