Yaliyojiri Weekend ya jana Kidimbwi

nikweli mkuuu nilitumia 400k but sio mbaya siku moja moja kk ntakufundisha statehe ni gharama
 
Naomba namba zao PM na Mimi niwale

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kaka,now nipo kwenye early fourth floor,hizo mambo za starehe nimefanya huko kwenye twenty years ago,na hapo kipindi hicho President akiwa mkwele,pesa nje nje!!
acha weeeeee.
 
Duh
 
Kwa hiyo wewe ni shujaa?
 
Kaka,now nipo kwenye early fourth floor,hizo mambo za starehe nimefanya huko kwenye twenty years ago,na hapo kipindi hicho President akiwa mkwele,pesa nje nje!!
kwa hiyo.siku hizi hutiii nnje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…