Yaliyojiri Weekend ya jana Kidimbwi

Yaliyojiri Weekend ya jana Kidimbwi

Mkuu kwa haraka haraka tu,ni kwamba ulitumia zaidi ya 400k, sikatai ni pesa zako,lakini kumbuka kuna siku utakosa hadi 1000 na utabaki unajiuliza tu,hivi zile pesa zangu ziko wapi??

Hivi unawezje kulala kitanda kimoja na wanawake wawili?? Hapa naona kabisa wewe umri wako bado sana
nikweli mkuuu nilitumia 400k but sio mbaya siku moja moja kk ntakufundisha statehe ni gharama
 
Habari wadau,

Ukiambiwa mjini starehe gharama usikodoe macho .

Kama ilivoada jana nilitoka out peke yangu nikaenda kidimbwi kumalizia weekend.Nilitoka kwangu mida ya saaa tatu usiku nikafika nikakaa maeneo ya kaunta nilimkuta mshikaji mmoja na madem wawili wanakula kilaji.Mwamba alikunywa safari madem wote walikunywa savana.

Niliagiza moet nikaanza kula taratibu wale alafu sina habari na dem .Jirani yangu aliwaagizia wale madem savana 5 kila mmoja nikaona akatoa waleti kwa mbali mchuzi umeelekea mwisho nikajisemea kwa hawa madem ninavowaona hafiki nao mbali.

Wadau kufika muda wa saa saba usiku madem wanataka waongezwe pombeee jamaaa hana pesa anataka waondoke madem wakagoma ondoka mwenyewe kikukweli vilikuwa ni visu vya hatari rangi ya mtume.

Mimi nikasimama nikanza kucheza cheza sina habari mtoto mmoja akaniletea kiuno wadau nikakipasa na akanisusia trakooo loteee wote mmoja wapo kati ya yule aliekuwa dem wa mshikaji.Nikamuita muhudumu wape savana 10 wakuuuu wote wawili walihamia kwangu mshikaji alipata hasira akasepa.

Wamenikatikia nikasema mida ya saa 10 msinitie nyege tuondokeni .Tukaingia kwenye gari hadi Hotel nimewala wote tena show ya kibabe,nimewaachia 150 wagawane.

Wameshukuru kichizi kumbe ni watoto wa chuo mshikaji aliewatoa ni mwanachuo mwenzao wakaniambia huwa akibeti akishinda ndo anawatoa out wakaniambia sisi ni friends tuko second yr ukituhitaji mda wowote tuwasiliane nikawambia wasijar .
Naomba namba zao PM na Mimi niwale

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kaka,now nipo kwenye early fourth floor,hizo mambo za starehe nimefanya huko kwenye twenty years ago,na hapo kipindi hicho President akiwa mkwele,pesa nje nje!!
acha weeeeee.
 
Duh
 
Kwa hiyo wewe ni shujaa?
 
Kaka,now nipo kwenye early fourth floor,hizo mambo za starehe nimefanya huko kwenye twenty years ago,na hapo kipindi hicho President akiwa mkwele,pesa nje nje!!
kwa hiyo.siku hizi hutiii nnje
 
Back
Top Bottom