Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
vs

Mechi saa Kumi Jioni Uwanj wa Taifa Dar Es Salaam

Nimebahatika kuwaoana hawa Platinum wakipasha leo asubuhi, kwa kweli wameshiba

Kila la Heri Yanga Africa, wawakilishi pekee wa Tanzania Kimataifa, jitahidi msiingie mkimuwazia Okwi bali muweke masilahi ya Taifa Mbele
==========

UPDATES:

Full time:
Young FC 5 - 1 Platinum FC
 
List of leagues and cups where team FC Platinum plays this season.​
[TABLE="class: all, width: 620"]
[TR="class: head"]
[TD] [/TD]
[TD]Competition[/TD]
[TD="width: 40"]Rank[/TD]
[TD="width: 40"]Win[/TD]
[TD="width: 40"]Draw[/TD]
[TD="width: 40"]Lost[/TD]
[TD="class: head2, width: 75"]last5[/TD]
[/TR]
[TR="class: twom"]
[TD] Zimbabwe[/TD]
[TD]Premier Soccer League 2015[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD="bgcolor: white"][/TD]
[/TR]
[TR="class: onem"]
[TD] Zimbabwe[/TD]
[TD]Premier Soccer League 2014[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD="bgcolor: white"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Je Wataionyesha Live Hii Mechi Maana Nimesafiri Nipo Mkoani Mwz; Je Azam atatuonyesha Wabongo?? aliye na Taarifa Tafadhali anijuze..
 
Ikumbukwe kwamba Yanga imefikia hatua hii baada ya kuiondosha BDF X1 YA Botswana ilihali FC Platinum iliitoa Sofapaka ya Kenya
 
sina hakika sana nataraji TBCCM na gari lao jioya watavinjari, Yanga bado wana bifu kubwa sana na AZAM NA kama utakumbuka hata mashabki wao walienda kuishangilia El Mereikh ya Sudan ilipocheza na Azam Chamazi/Mbande
Je Wataionyesha Live Hii Mechi Maana Nimesafiri Nipo Mkoani Mwz; Je Azam atatuonyesha Wabongo?? aliye na Taarifa Tafadhali anijuze..

Vp azam watarusha hii gemu?
 
hawa Platinum wameshanikera na jezi zao, wapigwe tu
 
Leo Utaifa kwanza:
Yanga piga hao Platnum, mpaka kieleweke! Tz iwe machinjio, hatoki mtu salama!
 
Hawa Platinum nadhani Platinumz wa Bongo atawashangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…