Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Kufungwa kubaya jamani we acha tu toka tumefungwa na mtani nilipotea kwenye jukwaa hili kama nipo kifungoni.

Ila YANGA naombea leo msituangushe maana naweza likimbia jukwaa hili kwa muda mrefu.
 
Karibu tena mkuu,
Leo yanga ushindi lazima.
 
Ingawa me shabiki wa Simba, ila leo nawatakia kila LA heri watani zangu Yanga. Utaifa kwanza mengine baadae
 
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Platinum ya zimbabwe;
1. Ally Mustapha Barthez
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Mbuyu Twite
5.Kelvin Yondan
6.Juma Said Makapu
7.Simon Msuva
8.Salum Telela "Abo Master"
9.Amiss Tambwe
10.Mrisho Ngassa
11.Haruna Niyonzima
SUB....
Deogratius Munishi
Rajabu Zahir
Hassan Dilunga
Kpah Sherman
Edward Charles
Jerryson Tegete.

Kila la kheir timu ya wananchi Dar Young Africans
Japo sipendi Yanga washinde lakini kwa hiki kikosi naona kwa mbali kuna ushindi. Mabeki wa kati wajitahidi tu kutoa back up inapotokea mabeki wa pembeni wamepanda hasa beki mbili huwa anapenda sana kupanda ingawa yeye huwa anajitahidi kurudi mapema wakati timu inashambuliwa, beki wa kushoto huwa ni mzito kidogo na kwa sababu hiyo kama atakuwa akipanda sana itabidi Kelvin na Twite wafanye kazi ya ziada kumpa cover up la sivyo kufikia saa 12 tutakuwa tunaongea mengine.

Ikitokea Makapu kazidiwa itabidi kocha aue winga moja na kubakia winga ya wizi wizi ili Niyonzima awe anacheza muda mwingi kati na Telela kuja kumlinda Makapu ili kuimarisha kiungo wakati timu inashambuliwa.

Pamoja na hayo bado sisi watu wa kwa Mugabe tunawatakia ushindi Platinum.
 
pole sana NGANU ila leo nimefanya maombi maalum ili muweze kufunga maana nina galfrnd wangu week nzima sasa hana raha kabisa. mpaka nmeanza kujisikia vibaya maana ana mawazo sana ya ile mechi ya jumapili. nmeona huruma kwa kweli amekonda sana hana nuru kabisa. naomba leo yanga ishinde maana naona naweza mpoteza hivi hivi. na mpaka amejenga chuki kwa okwi vibaya sana. anasema huyu mchezaji mbaya hafai hata kuwepo tanzania anapenda sifa za kijinga.
 
Last edited by a moderator:
Japo sipendi Yanga washinde lakini kwa hiki kikosi naona kwa mbali kuna ushindi. Mabeki wa kati wajitahidi tu kutoa back up inapotokea mabeki wa pembeni wamepanda hasa beki mbili huwa anapenda sana kupanda ingawa yeye huwa anajitahidi kurudi mapema wakati timu inashambuliwa, beki wa kushoto huwa ni mzito kidogo na kwa sababu hiyo kama atakuwa akipanda sana itabidi Kelvin na Twite wafanye kazi ya ziada kumpa cover up la sivyo kufikia saa 12 tutakuwa tunaongea mengine.

Ikitokea Makapu kazidiwa itabidi kocha aue winga moja na kubakia winga ya wizi wizi ili Niyonzima awe anacheza muda mwingi kati na Telela kuja kumlinda Makapu ili kuimarisha kiungo wakati timu inashambuliwa.

Pamoja na hayo bado sisi watu wa kwa Mugabe tunawatakia ushindi Platinum.

Da! Umemaliza vbaya ka nn' ila uwepo humu hadi mwsho.
 
mi naumia sana moyoni nmempoteza rafiki yangu kpenzi Bantu lady kila napokumbuka roho inaniuma machozi yananitoka. laiti ningelijua kuwa ushindi ule wa simba jumapili ungenipotezea huyu mwanamke nsingeomba OKWI afunge goal lile angalau tungetoa tu draw, sasa nawaza mimi, nashindwa kula week nzima sasa sijatia kitu mdomoni. Bantu lady naomba unisamehe dada.... sisi wote ni binadamu kukosea tumeumbiwa. laiti moyo ungekuwa na mfuniko, ningefunua uone jinsi gani nmeumia. nipo tayari sasa hata kuhamia team ya yanga kwa ajili yako. upendo unanivunja mgongo mimi, silali naumwa mgongo... mapenzi yanitesa, wazimu wanipata, nikikumbuka jinsi tulivyokuwa, na sasa umenigeuka, najiuliza imekuaje kiasi hicho? jaman wadau wa simba na yanga naomba mniombee msamaha mimi.... Yanga hoyee...
 
yule mbrazil mbona kama mmemsahaulisha kabisa kucheza mechi? jamani msimtendee hivyo. au mnadhan mtawatia hasira wazimbabwe kumweka mzungu kwenye mechi? huyu mliberia? maana alikuja na mbwembwe sana kipo wapi sasa? mpira si mieleka mlisema ana nguvu kwan kaja kubeba mizigo hapa? mwekeni acheze jamani na mzungu pia. safari hii mtasajili mpaka wachina.
 
Yanga timu piga hao wazimbabwe tatu bila warudi kwa rais wao anayeanguka hovyo majukwaani
 
Karibu tena mkuu,
Leo yanga ushindi lazima.

Mkuu mkolaj nipo japo nikiwa sina furaha sana,
ila ushindi wa leo utaniongezea furaha kidogo.

Mkuu Komeo Lachuma ahsante na mpe pole huyo mdada mwambie tuko wengi wenye huzuni.
 
Last edited by a moderator:
Yanga timu piga hao wazimbabwe tatu bila warudi kwa rais wao anayeanguka hovyo majukwaani
Hahahaaa, mkuu tuko pamoja lakini sio vizuri kuwadhalilisha wazee wetu bwana.
Mpira ni burudani tu, natanguliza samahani!
 
Back
Top Bottom